Kwetu Ngoreme
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 489
- 189
Nimedownload kitabu online ila kimefanyiwa encyption za Winzip with password, So ukilifungua hilo file linadai password, ambazo kuzipata mpaka ufanye survery za online ambazo nimehangaika kama mwezi mzima bila mafanikio. Kama kuna mtu yeyote anayeweza kutoa password za Winzip protected file nipo tayari kulipia huduma. Mawasiliano: 0716 731 205