Je kuna ukweli?... how to make you ex feel useless and desperate

Je kuna ukweli?... how to make you ex feel useless and desperate

Na isitoshe umesema kwa hisani ya watu wa Facebook
Sijui watu hawajui kusoma?

Wasamehe bure mkuu!!

Achana na huyo Lofa Mkuu.
Vipi, ulimalizana na mama wa "Karafiki" kako?
 
Lakini jamani turudi kwenye upande wa pili wa shilingi....yote hayo ni kwa ajili ya nini...mahusiano ni tunaweza kuyaita domestic agreement kwa lugha ya kisafa...sasa ikiwa mmeachana kwa sababu yoyote ile hakuna sababu ya kujengeana uadui. Nionavyo atabarikiwa zaidi asiye na kinyongo,ambaye anaweza kumfanya ex-whoever wake kuwa rafiki!

Mkuu hapa umenena. Mi sina kinyongo nae kabisaaaa ,I call she calls life goes on.
 
Teh...mavi ya kale hayanuki,hizo mbinu zote ni za ku overcome maumivu tu?
 
Ur ryt bro' tho inaeza kuja vice versa mfn ukute ex wako yuko na success zaidi yako kuna hints zako nyngn zinagoma fanya kazi ila nzr kuliko yote neva ignore ya ex gf/bf muache akuone ulivo na furaha bila yeye.
 
Hapa utajua nani kaachwa christmas hii! jielezen tu!
 
Why bother? All this for what? Unless I'm still feenin' for him an ex is simply the past!
 
What for? Ukifanya haya yote inaoonyesha ni jinsi gani Ex wako bado anakuzuzua.
Kweli mkuu kwa uzoefu wangu ni vigumu kutekeleza yote yaliyoorodheshwa. mtima lazima utauma ni kufanya yako na kuendelea na maisha.
 
Yote hayo umfanyie mtu ili awejelous?? mi nafkiri utakuwa unatafuta kurogwa
 
Behind every I dont give a damn, there are tons of damns being given secretly.

kwanini uangaike na X wako, leave them behind, ignore them and that will make them feel worse than vituko vya kipuuzi...

Binti mmoja juzi hapa kusikia Boyfriend wake amempa mimba binti mwingine, yuko kwenye mpango wa ku-date na rafiki yake. Nikasema we mwache tu, group zima litamgonga, halafu that wont do anything to the guy, unless awe an a**h**e....
 
Back
Top Bottom