Recent content by chikana baby

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sisi wanaume au wavulana hatupendi hii kitu kwa nini?

    Nature ya mwanadam ni self centered(selfish)kwa hiyo sio rahisi mtu kuona mtu anamharibia wadogo zake but yeye huona halali kutafuna wa wengine.
  2. C

    JamiiForums Tanzania WAPENZI WA SERIES vp Arrow imeanza kutoka?

    Hivi game of throne season 4 lini kwa anae jua anijuze tafadhali..
  3. C

    JamiiForums Tanzania ISIS executes British aid worker David Haines; Cameron vows justice

    mjadala mzuri ila mnachoboa kuchanganya hizo conflict na dini nijuacho uwe muislam ama mkristo kama gaidi we gaidi tuu.ila tusichanganye haya mambo na dini waache wao na propaganda zao
  4. C

    JamiiForums Tanzania Baby i miss you, come back soon please

    unajua huwa anawaambia hayo maneno wangapi na wewe ukiwamo?au hukwambia akiwa na mchepuko ili usishituke....wewe anaambiwa hivyo wakati kuna mtu anakugegedea taratiiibu..unakula maneno mwenzako anakula nyapu safii kabisaa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nayo ni "style" ya kutimiza haja?

    duuuuuu hiii kali na toto linazaliwa full ringtone za phone na maneno ya huba....huyo atakuwa mtoto simu ......nimecheka sana.....
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    wazaz walifanya juhudi gani kumlea mtoto wao..siku za zamani kidogo walezi wazuri walikuwa wakina bibi na wakina babu hata leo iko hivyo.Angekuwa anadekezwa asingefika hapo alipofika.wazazi wasiojali mtoto na mtoto anaye ona walezi wake ni kama wazazi kwa sababu ya kumlea tangu akiwa na miaka 3...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hii tabia sio kabisa wadau

    Tatizo lako unawafukuzia madenti..
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Naona kama kuna kaukweli ndani ya maneno ya huyu Mchange.Maana mnyika kuna mambo hakujibu kwa mfano gari la Mwenyekiti kutumika kuteka.Mambo ndani ya CDM kuisingizia CCM na watu wengine.mtu kutoka ndani ya chama anaitwa msaliti na akirudi anaitwa shujaa(kamanda). Najiuliza hivi kuna mamluki...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake ving'ang'anizi hivi mnawazaga nini

    nimecheka sana hiyo kitu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Huyu shoga angu kanichefua sana

    duuuuu hiiii kali.Kwanza huyo kesha gegedwa mpaka kasingizia anaumwa kazazi.Muunganishe na doctor ila nae aombe rigwaride
  11. C

    JamiiForums Tanzania Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

    kafir ni nan? maana tafadhari........
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Mpesa ni wezi.

    wamechukua faida na mtaji kweli hawa watu nouma.voda acheni uwizi mnaona watu wanafanya kazi za kanisa yaani wawafanyie nyinyi eti aaaaaaag mnaboa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mke anayedaiwa kupanga kumuua mumewe kortini.

    kawaida sanaaaaa kabila nalo huchangia.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yajifunze Misri,Walichofanya Mtwara na wanachoendelea fanya hakikustahili

    Misri si jambo la kushangaza kawaida yao japo yatupasa tujifunze.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

    swali ambalo hujajiuliza ni kwanini wananchi walikuwa zaidi ya mia tano na polisi wasio zidi hamsini.baada ya mlipuko kwanini wapigwe wakati wanamfuata mtuhumiwa.kipi kinacho shinda kati ya mawe,chupa na kirungu.ungekuwa wewe ni polisi ungefanya nini?hakuna siasa kwenye vifo vya watu wasio kuwa...
Back
Top Bottom