Hizo sio propaganda, hayo ni mauji, tena ya kinyama ! Tofautisha propaganda na facts. Ni lazima watu wajue ili wachukue tahadhari !. Kama wewe unaamini mtu akichinjwa, basi watu wasiseme, basi wewe utakuwa mtu wa ajabu sana !
Wajibu gani ulioachwa hapa km sio akili mbovu?
We kuropoka ovyo ndiko kutasababisha hawa jamaa waache kuua?
Hujijui hujitambui kazi kuropoka tu!
Adui anapofanya maasi na akatoa Video ili watu waone maasi yale basi tambua kuwa Yyt mwenye kusaidia kuonyesha Maasi hayo AMEWASAIDIA Hao waovu KUSAMBAZA PROPOGANDA zao ktk Jamii.
Wewe na wale wanaowapa Promo hao maadui HAMNA TOFAUTI YYT.
Amka wewe mtoto!