Vodacom Mpesa ni wezi.

Vodacom Mpesa ni wezi.

wamechukua faida na mtaji kweli hawa watu nouma.voda acheni uwizi mnaona watu wanafanya kazi za kanisa yaani wawafanyie nyinyi eti aaaaaaag mnaboa.
 
Mimi ni wakala wa Mpesa.

Leo kuna mteja kaja kutoa pesa, kabla ya kutoa pesa salio lilikuwa ni 1,183,900.
Baada ya mteja kutoa 3500 salio likawa ni 1,183,000.

Hapo kuna pungufu ya 900+3500=4400.

Nimejarbu kuwapigia simu. Wamenijibu kuwa hawaoni tatizo lolote.

Acheni wizi. Nirudishieni pesa zangu.

Mzee hata mimi nilikuwa sijakuelewa, kumbe tukitoa salio huongezeka kwako! Sikuwa na habari! Pole. ( nilidhani hujui hesabu)
 
Habari,ninachoamini ni kuwa pesa haiwezi kupotea kwenye M-PESA,lazima kuna mahali salio litajulikana lilipo.Pia kabla hatujaanza kusema tumeibiwa tujaribu kwanza kupata suluhisho,Vodacom haiwezi kuiba salio na kama inafanya hivyo basi wateja wangeshaacha kutumia mtandao huo.
 
Hata mimi sijamuelewa huyu bwana. Alichoibiwa ni nini?

Ok!

Ni hivi kabla mteja kutoa
pesa salio lilikuwa Milioni
moja mia themanini na tatu
elifu na mia tisa i.e
1,183,900.

Baada ya mteja kutoa pesa,
Salio likapungua na kuwa
Milioni moja na mia
themanini na tau elifu i.e
1,183,000.

Ingepaswa iwe hivi:
Baada ya mteja kutoa pesa
ingepaswa salio langu
liongezeke kwa kiasi
alichotoa i.e 3500
Salio jipya lingekuwa
1,183,900+3500=1,187,400.

Baada ya mteja kutoa pesa:
Baada ya mteja kutoa pesa
salio langu jipya likawa ni
1,183,000

Ikiwa na maana kuwa
wamekata 900 ktk salio la
mwanzo + 3500 aliyotoa
mteja

NB.
Nilipokea sms kuwa mteja
ametoa 3500.
Nadhani nimeeleweka.
 
Kidato cha nne? Au kuna tatizo mahali?:help:

Inavyoelekea Huna uelewa wowote. Pia hesabu za kutoa na kujumlisha zinakusumbua sana.

Ok!
Ni hivi kabla mteja kutoa
pesa salio lilikuwa Milioni
moja mia themanini na tatu
elifu na mia tisa i.e
1,183,900.

Baada ya mteja kutoa pesa,
Salio likapungua na kuwa
Milioni moja na mia
themanini na tau elifu i.e
1,183,000.

Ingepaswa iwe hivi:
Baada ya mteja kutoa pesa
ingepaswa salio langu
liongezeke kwa kiasi
alichotoa i.e 3500
Salio jipya lingekuwa
1,183,900+3500=1,187,400.

Baada ya mteja kutoa pesa:
Baada ya mteja kutoa pesa
salio langu jipya likawa ni
1,183,000

Ikiwa na maana kuwa
wamekata 900 ktk salio la
mwanzo + 3500 aliyotoa
mteja

NB.
Nilipokea sms kuwa mteja
ametoa 3500.
Nadhani nimeeleweka.
 
mbona mnakuwa na dharau kwa vitu msivyovijua?

Kwa nini atoe Tsh. 3,500 kwa mteja wakati muamala ulikamilika kwa yeye kukatwa Tsh.900?

C.C Mzee, nimekuwa wakala wa M-Pesa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Kuwa makini na transaction zako usilete kelele hapa.
 
Last edited by a moderator:
mitandao yote ya sim wamekua wanautuibia salio pamoja na mbs za intanent, nahisi kuna mkono wa ccm hapo.
 
Kwa kweli nadhani mwizi ni wewe myoa mada

Ficha ipumbavu wako.

Ok!
Ni hivi kabla mteja kutoa
pesa salio lilikuwa Milioni
moja mia themanini na tatu
elifu na mia tisa i.e
1,183,900.

Baada ya mteja kutoa pesa,
Salio likapungua na kuwa
Milioni moja na mia
themanini na tau elifu i.e
1,183,000.

Ingepaswa iwe hivi:
Baada ya mteja kutoa pesa
ingepaswa salio langu
liongezeke kwa kiasi
alichotoa i.e 3500
Salio jipya lingekuwa
1,183,900+3500=1,187,400.

Baada ya mteja kutoa pesa:
Baada ya mteja kutoa pesa
salio langu jipya likawa ni
1,183,000

Ikiwa na maana kuwa
wamekata 900 ktk salio la
mwanzo + 3500 aliyotoa
mteja

NB.
Nilipokea sms kuwa mteja
ametoa 3500.
Nadhani nimeeleweka.
 
Mmeshindwa kumuelewa mleta Uzi,,katika Biashara ya M-Pesa au tigo-Pesa kuna transaction mbili ambayo ni kuweka na kutoa, hivyo basi mteja anapoenda kuWidraw hela Salio huongezeka kwenye Float ya wakala na Mteja anaDeposit Float hupungua kwa wakala.

Mleta mada yupo sahihi katapeliwa hela yake ilibidi Float yake iongezeke.
 
Haya mahesabu yako kiboko. Hiyo mpesa unauza mwenyewe ama wewe ndo tajiri? Manake kama wewe uko hivi sijui huyo anaesimamia biashara ana akili gani! Go home, you are drunk!


King'asti
Kumbe na wewe akili zako zipo namna hii.

Hesabu za kutoa na kujumlisha zinakusumbua namna hii

Ok!
Ni hivi kabla mteja kutoa
pesa salio lilikuwa Milioni
moja mia themanini na tatu
elifu na mia tisa i.e
1,183,900.

Baada ya mteja kutoa pesa,
Salio likapungua na kuwa
Milioni moja na mia
themanini na tau elifu i.e
1,183,000.

Ingepaswa iwe hivi:
Baada ya mteja kutoa pesa
ingepaswa salio langu
liongezeke kwa kiasi
alichotoa i.e 3500

Salio jipya lingekuwa
1,183,900+3500=1,187,400.

Baada ya mteja kutoa pesa:
Baada ya mteja kutoa pesa
salio langu jipya likawa ni
1,183,000

Ikiwa na maana kuwa
wamekata 900 ktk salio la
mwanzo + 3500 aliyotoa
mteja

NB.
Nilipokea sms kuwa mteja
ametoa 3500.
Nadhani nimeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Biashara hizi za uwakala ni Chuma Ulete Advanced ya Mzungu,,,haya makampuni ya Simu huwaga wanaiba kwenye ile miamala pindi pale mteja anapokuja kutoa hela na wewe wakala unaweza ukaiona hela ndogo tu lakini ukiangalia ni hasira yako we chukulia kwenye biashara yako kwa siku unafanya Transaction za wateja 60 kila mteja wanakuibia tsh150( Anaetoa 40000 kushuka chini,,ikipanda wanazidi kukuibia) zidisha hiyo kwa mwezi halafu angalia kuna Mawakala wangapi nchini.
 
Mkuu,
Watu wasichojua ni kua Mteja akitoa hela kwenye M-Pesa, basi kwa wakala salio linaongezeka. Maana ni sawa na Mteja anamuuzia wakala salio lake.

Sasa kwa kutokuelewa huko wanafikia kumshambulia mleta mada bure. Pole Mkuu Mzee.

Meanwhile umeadimika sana kule siasani kaka (Out of Topic & Joke)

Shakir
Vijana wanatoa povu kumbe hawajui kitu.

Kule huwa napita mara nyingi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kidato cha nne? Au kuna tatizo mahali?:help:
Mbona anaeleweka tu vizuri, ni kwamba kabla mteja hajaja, alikuwa na float ya TZS 1,183,900 ambayo yeye anaita salio, kwa kawaida mteja anapotoa float inatakiwa iongezeka kwa kiasi mteja alichotoa, mteja wake alitoa TZS 3,500, hivyo float ilitakiwa kuwa TZS 1,183,900+TZS 3,500=TZS 1,187,400, sasa badala ya float kuongezeka kwake ilipungua as if mteja wake alikuja kuweka hela. Inavyotakiwa ni hivi: akiweka float inapungua na cash inaongezeka na akitoa float inaongezeka na cash inapungua.
 
Biashara hizi za uwakala ni Chuma Ulete Advanced ya Mzungu,,,haya makampuni ya Simu huwaga wanaiba kwenye ile miamala pindi pale mteja anapokuja kutoa hela na wewe wakala unaweza ukaiona hela ndogo tu lakini ukiangalia ni hasira yako we chukulia kwenye biashara yako kwa siku unafanya Transaction za wateja 60 kila mteja wanakuibia tsh150( Anaetoa 40000 kushuka chini,,ikipanda wanazidi kukuibia) zidisha hiyo kwa mwezi halafu angalia kuna Mawakala wangapi nchini.

Una uhakika na hili mkuu?? Unaweza kusimama Mahakamani??
 
Mimi ni wakala wa Mpesa.

Leo kuna mteja kaja kutoa pesa, kabla ya kutoa pesa salio lilikuwa ni 1,183,900.
Baada ya mteja kutoa 3500 salio likawa ni 1,183,000.

Hapo kuna pungufu ya 900+3500=4400.

Nimejarbu kuwapigia simu. Wamenijibu kuwa hawaoni tatizo lolote.

Acheni wizi. Nirudishieni pesa zangu.

====_==================
I hope everything is okay as of now.
 
Masuke, kwa nini atoe Tsh.3,500 kwa mteja wakati float inaonyesha vituko?
Mteja wake ndiye aliyetoa hicho kiasi; ili muamala ukamilike unahusisha watu wawili, mwenye kibanda cha mpesa ambaye ndo huyu anayelalamika na mteja wake ambaye alitoa hicho kiasi, kama mtoa mada anasema ukweli kuna tatizo ambalo halijulikani; lakini kwa ufahamu wangu inawezekana kabisa mtoa mada kuna kiasi alichokuwa anadaiwa. hii hutokea mara nyingi sana unakuta mteja anatoa hela halafu anakosea namba ya wakala badala ya kuingiza namba ya wakala alipo anajikuta anaingiza namba ya wakala mwingine, sasa aliyekosea akilalamika lazima hicho kiasi kivutwe kutoka kwa wakala ambako kimeingia kwa makosa kurudishwa kwa mteja aliyekosea. nadhani inawezekana kimetokea kitu kama hicho kwa mdau lakini si kweli kwamba Vodacom wamwibie kwa jinsi hiyo, kama ni kweli afuatilie maana system zinaonyesha kila kitu ikiwezekana wamprintie aangalie tatizo liko wapi asione kwamba ni hela ndogo sio ujinga kuuza mbuzi kwa kesi ya kuku kama unachotafuta ni haki.
 
Back
Top Bottom