Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
anhaaa uku kwetu nanii na naniliu vyote sawa
kumbeeee huko kwenu?? hata avatar yako inaonesha huko kwenu mpo tofauti
anhaaa uku kwetu nanii na naniliu vyote sawa
Hivi hakuna wanaume wanaorudi kwa wapenzi wao wa zamani.....nataka kujua tu.....
anhaaa uku kwetu nanii na naniliu vyote sawa
Hahahaha lolkumbeeee huko kwenu?? hata avatar yako inaonesha huko kwenu mpo tofauti
nimecheka sana hiyo kitu