Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

Tanzania tunakoelekea sasa nalikumbuka "Azimio la Arusha"
 
Nimekoswa risasi hapo karibu na kwenye maduka ya kwenda stand ndogo!!
Nilikuwa natokea ofcn kwangu mitaa ya stadium. Difender ikaja kwa kasi pasipo mimi kujua wakati navuka barabara kuelekea stand ndogo. Jamaa walikimbia na nilikuwa wa mwisho kukimbia.
Nilisikia sauti piga risasi huyo wa mwisho?! Kugeuka akawa anajiandaa kwa kushusha kioo na kuninyooshea bunduki.
Nikalala chini! Nikasikia sauti tena mfuate palepale?! Kunyanyua kichwa akawa anafungua mlango ashuke!
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!

.....duh, kama James Bond aisee!!!

😉
 
Siku wananchi wakiwa na silaha kama yao hata moja, kitaeleweka tu. Na siku hiyo wala haiko mbali.
 
Tupitishe sheria mpya ya kujiunga na Jeshi la Polisi
Yaani kila Mwombaji awe amemaliza kidato cha Sita na
Awe na Div||
Hii utatuwekea heshima kubwa kwa Taifa letu
Maana Mtu Msomi hawezi kufanya huu ujinga

Sishangai wanayofanya Polisi Leo maana kama
Alifail form four ndo akaenda huko, hata uwezo wake
Katika kutatua kitu atatumia nguvu
"HATA BONDIA ASIYEJUA KUPIGANA HUPIGANA RAFU TUU"
 
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kwa Tanzania.itakuwa ni vita kati ya ccm na wananchi...
 
Wapuuzi kabisa mnashindwa kuheshimu mamlaka zilizo kisheria mkishughulikiwa mnaanza kulialia pambaneni tu nyie sini makamanda?

Narudia Tena Leo, "Imeandikwa zitiini mamlaka zilizopo maana zimetoka kwa MUNGU" haya Mamlaka yaliopo TZ sasa hivi hayajatoka kwa MUNGU, Ni kazi ya ushetani na mashetani wake.
 
Nimekoswa risasi hapo karibu na kwenye maduka ya kwenda stand ndogo!!
Nilikuwa natokea ofcn kwangu mitaa ya stadium. Difender ikaja kwa kasi pasipo mimi kujua wakati navuka barabara kuelekea stand ndogo. Jamaa walikimbia na nilikuwa wa mwisho kukimbia.
Nilisikia sauti piga risasi huyo wa mwisho?! Kugeuka akawa anajiandaa kwa kushusha kioo na kuninyooshea bunduki.
Nikalala chini! Nikasikia sauti tena mfuate palepale?! Kunyanyua kichwa akawa anafungua mlango ashuke!
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!

Arusha si mahali salama teeeeeena,
mtwara,Lindi nako si a dangerous zone
 
Chadema sijui wana nia gani tu!! Yaani huwa wanajazana upepo tu, halafu wale wachache wenye kauwezo ka_kufikiria kidogo, matatizo yakianza huwaoni!!! Mungu tusaidie kwa kweli sijui hawa watu wametoka wapi!!
 
Wadau,
Nimekaa, nikatafakari juu ya taarifa inayohusu mlipuko huko Arusha na kujiuliza maswali haya bila jibu:
  1. Ni kwa nini Polisi waende kwenye mkutano wa hadhara (kama huo wa huko Arusha) huku wakiwa na silaha za moto?
  2. Je? Sheria za ulinzi na usalama hasa zile zinazowasimamia Polisi zinasemaje kuhusu ubebaji na utumiaji wao wa silaha za moto?
  3. Hata kama ni kwa kujihami na fujo za raia, yale maji ya kuwasha, risasi za plastic, virungu, n.k viko wapi mpaka watangulize silaha za moto?
  4. Hao viongozi wetu (Pinda, Kikwete, Lukuvi, n.k) ambao mara kwa mara wamekuwa wakiwakingia kifua hawa Polisi wanaoua raia mara kwa mara nao hawajui hizo sheria? Au wao ndio wanaowatuma? Mbona watu kama Pinda na Kikwete hawafananii kuwa na roho kama hizo? (Labda Lukuvi).
  5. .........? :shock:

Naomba mnisaidie kupata majibu ili roho yangu itulie kwenye msimamo mmoja! Ahsanteni.

Mwigulu+Policeccm=Sh*t!
 
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hatua imani tena na jeshi la polisi,hilo ni jeshi la ccm cyo tanzania mwisho wao umefika
 
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

swali ambalo hujajiuliza ni kwanini wananchi walikuwa zaidi ya mia tano na polisi wasio zidi hamsini.baada ya mlipuko kwanini wapigwe wakati wanamfuata mtuhumiwa.kipi kinacho shinda kati ya mawe,chupa na kirungu.ungekuwa wewe ni polisi ungefanya nini?hakuna siasa kwenye vifo vya watu wasio kuwa na hatia.vp kama chadema walipanga kuongeza chuki za raia?ama vp kama ni ccm ili kupunguza kasi ya nguvu ya umma?yote mawili yanawezekana.polisi kwenda sehem ambayo kunahisia kwamba zitatokea fujo wakiwa na siraha za moto si kosa.
 
Nimekoswa risasi hapo karibu na kwenye maduka ya kwenda stand ndogo!!
Nilikuwa natokea ofcn kwangu mitaa ya stadium. Difender ikaja kwa kasi pasipo mimi kujua wakati navuka barabara kuelekea stand ndogo. Jamaa walikimbia na nilikuwa wa mwisho kukimbia.
Nilisikia sauti piga risasi huyo wa mwisho?! Kugeuka akawa anajiandaa kwa kushusha kioo na kuninyooshea bunduki.
Nikalala chini! Nikasikia sauti tena mfuate palepale?! Kunyanyua kichwa akawa anafungua mlango ashuke!
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!
Wanakufahamu wewe ni nani? Mpaka wakufatilie hv?
 
.....duh, kama James Bond aisee!!!

😉

Maamuzi ya haraka ndo yaliniokoa mkuu! La sivyo wangenikamatia palepale nilipolala.
Pia kijimsingi ndo kilinisaidia!
 
Hujasikia hapo juu jamaa alikua anatoka zake kazini wakataka kumlenga kama mnyama-pori. Haijalishi unaandamana au huandamani you will fall victim of policcm. Hawa jamaa ni kama wehu and someone has to stop them and put them down to their knees. Kama unachagua kufa bila kelele waache wanaotaka kufanya kitu/

Dah simulizi ya huyo mkuu hapo juu imeniogofya si kawaida, upo uwezekano wameuwawa wengi zaidi ila imefanywa siri, kama udiwani ni hivi 2015 sijui itakuaje?
 
Chadema sijui wana nia gani tu!! Yaani huwa wanajazana upepo tu, halafu wale wachache wenye kauwezo ka_kufikiria kidogo, matatizo yakianza huwaoni!!! Mungu tusaidie kwa kweli sijui hawa watu wametoka wapi!!

Acha ukuda wewe kuna siku umeona kiongoz wa chadema kakimbia c polis wanawakamataga pia juz hujaona wamempiga nassari cc cio hao mabepar wenu wanapiga simu
 
Wanakufahamu wewe ni nani? Mpaka wakufatilie hv?

Nafikiri ni hasira za yale matairi yaliyokuwa yamewekwa pale barabarani.
Na mimi nilipita pembeni yake! Kwa mbali watakuwa walihisi ni miongoni mwa waliyoyaweka. Sababu hayakuwa yamewashwa tayari?!
 
Back
Top Bottom