Recent content by chigendi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Flat tv (starx)

    Ninalipa mzigo ukisha fika au malipo yanafanyikaje nisaidie hapo jombaa....
  2. C

    JamiiForums Tanzania Flat tv (starx)

    Weka na bei jombaa..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Toyota spacio

    Mkuu chukua 3.5
  4. C

    JamiiForums Tanzania Acha kujihurumia na kulalamika kwa kila hali unayokutana nayo

    Ni ukweli mtupu huo!!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Salary slip kwa watumishi wa Serikali

    Ni kweli kabisa hiyo system yao inashida sana na ukiwapigia simu haipokelewi...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Hakuna cha bure dunia hii labda "hewa ya kupumua aliyotupa mwenyezi MUNGU"bora huyo ameonyesha dalili za kukutaka lakini wengine huumia kimyamya wakitoa misaada kama hiyo!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Njoo ni kutabilie mambo 5

    Nitabilie nimegusa tayari... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb huduma kwa wateja mje mtolee ufafanuzi hili tatizo..maana ni kweli toka jana mastercard zinangua mpaka leo tatizo hilo hilo! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wauza unga wanaishi maisha ya kifahari jela, wengine wanalala kwao usiku na upelekwa jela kukikucha

    Na wasi wasi na hili la kutolewa gerezani usiku kwenda kulala kwake halafu asubuhi anarudishwa! sidhani kwa mfumo wa ulinzi wa magereza yetu kama linawezekana, anyway ni wakati sasa wa kuangalia hata vipato vya hawa askari kama vinalingana na kazi wanazozifanya..maana kulinda mijitu nyenye...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

    Hivi huyu dogo Ana nyimbo gani mbona Mimi sijawahi kumuelewa... ??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Vipi kabila la wajaruo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Joseph Selathini(mbunge) wa CHADEMA aweka rehani ubunge

    Ila miradi mingi iliyopo kwenye majimbo ya mkoa wa Dodoma kwa ujumla inashida...mfano miradi ya umeme wa REA wanaweka kijiji kimoja baadhi ya maeneo wanayaruka bila sababu za msingi; kuna haja hata wabunge husika wa mkoa huo kujitathimi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

    Asante jf hii shule bila ada! asanteni sana....
  14. C

    JamiiForums Tanzania Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Bado mi naamini mh Rais yuko sahihi...watu wachache walituchezea sana akili! hela imeletwa kwa ajili miradi mbalimbali ndani ya shirika we unaidhinisha iende fixed acc ili riba itakayopatikana uweke mfukoni.....asante sana mh Rais shikilia hapohapo ili na wao waishi kama "mashetani"!!!
Back
Top Bottom