Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.Huwa nafikiria kwa jinsi Waisrael kwa sasa walivyotapakaa katika nchi mbalimbali haswa huko Ulaya na wengine wakiwa na nafasi kubwa kama wataalamu ndani ya majeshi ya nchi hizo ikiwepo Ujerumani..Ni kweli wameamua kusamehe na kusahau walichofanyiwa na Hitler ama nao wanatengeneza kambi za vifo kwa ajili ya Wajerumani?
AhsanteMkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Jews ni watu wa strategies!! Well calibrated minds!Huwa nafikiria kwa jinsi Waisrael kwa sasa walivyotapakaa katika nchi mbalimbali haswa huko Ulaya na wengine wakiwa na nafasi kubwa kama wataalamu ndani ya majeshi ya nchi hizo ikiwepo Ujerumani..Ni kweli wameamua kusamehe na kusahau walichofanyiwa na Hitler ama nao wanatengeneza kambi za vifo kwa ajili ya Wajerumani?
Samahani ila achakuandika umende hapa...... Unaibuwa hasira kali....take care usishangae ukaswakwa mpaka ulipo nakupotea pasipokumbuka ulipost huu ujinga...Holocaust didn't happen.Hitler couldn't gather so many Jews(more than six million,because 6m is a number of those killed,not captured) just in Europe in a short time.He didn't have the means.
Holocaust is meant to put Jews in a sympathetic position through the eyes of the world.
In other words holocaust was consipered in order to allow their brutal occupation of Palestine.
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Mkuu kama umesoma vizuri uzi kuna sehemu nimeandika Wayahudi walisafirishwa kwa treni za mizigo kutoka nchi mbali mbali za ulaya ambazo Hitler alizivamia.Vipi mbona wamtajae kama mtetezi wao aliwaacha mpk wakafika million 6!!
wayahudi walikuwa wanakaa israel kipi kiliwapeleka ujerumani..?
lazima kuwe na walakini hapa wenyewe wamekuwa ni watu wakukatalikataliwa tu!
No, issue ya kihistoria hatutafuti mshindi inatakiwa iendane na uhalisia nani alifanyaje na ikaweje, mfano mzuri TITANIC huoni mle director alichezesha vizuri?Sasa mkuu kama Director akiamua kumuuwa stelingi kutakuwa na movie tena hapo?