Salary slip kwa watumishi wa Serikali

Boss nafikiri wewe ulifungua kabla huo mfumo wa kutumiwa link haujaanza,
Mkuu kama ulijiunga mapema kabla haijafanyiwa marekebisho lazima itagoma kufunguka, cha kufanya ingiza ingiza barua pepe yako ala sehemu ya neno la siri usijaze then ushuke chini ubofye sehemu iloandikwa umesahau neno la siri, ukishafanya hivyo utafuata maelekezo. Ukiweka tena password hata ukirudisha ile ile ya mwanzo haina shida
 
SEHEMU YA MALSLAMIKO SIIONI BALI ZIMEBAKI SEHEMU ZA TAARIFA ZA UTUMISHI NA UHAMISHO
 
kwa saivi nahisi wamefunga mgufo huu manake hata usiku hazitoki saiv mtandao gani huo
 
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia
Mm nimesahau password zangu pamoja na Email yngu, nitafanyaje. Maana nikijaribu kujisajili tena inaniambia check no.yangu tayari ilishatumika kufungua akaunt
 
Back
Top Bottom