Mpenzi hakopeshwi! Ulifanya kosa sana kumkula. Nakushauri potezea maana ulishaharibu lakini usirudie tena. Nadhani umepata fundisho. Then nenda kwa Mungu uombe msamaha ili uondolewe laana hii.
Japokuwa askari alikuwa na wajibu wa kuwaondoa watu barabarani, lakini wananchi nao walipaswa kujua barabara ni eneo hatari sana. Askari angefanya kazi ngapi sasa?Wananchi wajifunze kutokukaa barabarani kushangaa ajali pindi zinapotokea ajali. Vinginevyo maafa haya yataendelea sana tu.
Jolyta this is not ignorance.. tofautisha ulemavu na utashi. Mtu ukizaliwa na jinsia mbili au hormone imbalance haimainishi kwamba ndio uanze kufanya mambo ya ushoga. Mfano kuna wanyama na ndege wana matatizo hayo lakini hujawahi ona ngombe, mbwa au kuku wa jinsia moja wakifanya vitendo hivyo...
1. Inakupasa ujue kuwa Eva aliondoka na kwenda kuzurura peke yake bila mumewe. Walikuwa mwili mmoja so hakutakiwa kumuacha mumewe...
2. Adam hakujua lile tunda lilichumwa toka mti gani maana hakuwepo wakati linachumwa! So angekataaje kula wakati kapewa na mkewe aliyemuamini 100% kama sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.