Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Yote hayo hatukatai lakini tunasema Kanisa linashadidia na kubariki ushoga kwani hata wachungaji wanaoana kishoga na linakubali kuwaoza mashoga.

Na juu kidogo hapo Gavana kaweka link ya kanisa lililopo Mbeya Tanzania linaloshadidia na kubariki ushoga.

Nilikumisije? Najiuliza ff mbona ameadimika namna hii...
 
Last edited by a moderator:
Maswali ya kitoto hayo, umeshajisomea na kuelewa maana halisi ushoga umejaa makanisani na wachungaji ndio wanaongoza kanisa, tumekuwekea mpaka link ya ushoga Vatican lakini jinsi ulivyo finyu unajidai kuuliza ujinga.

Pole sana, Jee, wewe ndio katika wale mliosoma Soni kwa Father Kit Cunningham

Hakuna swali langu hata moja ulilolijibu halafu unaniambia maswali ya kitoto
Maswali gani ya kitoto yanayokosa majibu?

Mchungaji anaweza kuwa mtu yoyote yule
Mimi kuuliza nina kosa gani?

Nimekuuliza maana ya kanisa hujaniambia

Hata kama nikiamua kuitumia maana ya ushoga kama unavyotaka wewe ndio itakuwaje?
Hao "wachumngaji" kuwa mashoga ndio nini sasa?

Ushoga kuwepo Vatcan inanihusuje mimi?
Halafu nilikuuliza kama unamjua Alberto Riveira na Cardinal Bea,hujanijibu hadi sasa
Kwanini usigoogle kujua hao ni akina nani?

Soni kwa father Kit Cunningham ndio nini?
 
Angalia Tanga, Zanzibar na DSM ambapo waarabu waliweka maskani utagundua jinsi walivyoacha tabia yao chafu. Kuna vijana wengi tu wa kiislamu nawajua wanaingiliwa na kuingilia wanaume wenzao.

Na hata makanisa yalianzia katika miji hiyo hiyo unayoitaja.
 
Yote hayo hatukatai lakini tunasema Kanisa linashadidia na kubariki ushoga kwani hata wachungaji wanaoana kishoga na linakubali kuwaoza mashoga.

Na juu kidogo hapo Gavana kaweka link ya kanisa lililopo Mbeya Tanzania linaloshadidia na kubariki ushoga.

bado tunarudi palepale kwamba unageneralize, kuna makanisa mengi sana duniani na yanaanzishwa kila siku kulingana na interests za watu, kutokana na maelezo yako hapo juu unajaribu kuonesha kuwa makaninsa yote yanashadadia ushoga kma ulivosema kitu ambacho si kweli,
 
Hakuna swali langu hata moja ulilolijibu halafu unaniambia maswali ya kitoto
Maswali gani ya kitoto yanayokosa majibu?

Mchungaji anaweza kuwa mtu yoyote yule
Mimi kuuliza nina kosa gani?

Nimekuuliza maana ya kanisa hujaniambia

Hata kama nikiamua kuitumia maana ya ushoga kama unavyotaka wewe ndio itakuwaje?
Hao "wachumngaji" kuwa mashoga ndio nini sasa?

Ushoga kuwepo Vatcan inanihusuje mimi?
Halafu nilikuuliza kama unamjua Alberto Riveira na Cardinal Bea,hujanijibu hadi sasa
Kwanini usigoogle kujua hao ni akina nani?

Soni kwa father Kit Cunningham ndio nini?

Soma zaidi: Vatican Gay Lobby
 
Mashoga wengi kwa apa dar wanatokea mkoa wa kilimanjaro na moshi
 
Wakwanza kushugulikiwa ni hao wateja wao.siku zote watu uiga biashara pale wanapoona inawateja wanaoongezeka na sikushuka.
 
kuna kiongozi fulani kwenye moja kati ya vitabu vitakatifu alikubalika kwa Mwenyezi Mungu baada ya kuwaangamiza mahanithi wote. pia rejea sodoma na Gomora. hii ni dalili tosha ya laana kwa Taifa.
 
Ignorance.

Wanaozaliwa maalbino? Wenye ukoma? Wenye jinsia mbili? Wenye viungo vya ziada?(mfano maziwa matatu). Mapacha walioungana?

Jolyta this is not ignorance.. tofautisha ulemavu na utashi. Mtu ukizaliwa na jinsia mbili au hormone imbalance haimainishi kwamba ndio uanze kufanya mambo ya ushoga. Mfano kuna wanyama na ndege wana matatizo hayo lakini hujawahi ona ngombe, mbwa au kuku wa jinsia moja wakifanya vitendo hivyo. Point yangu siyo maumbile... Bali ni uamuzi wa kufanya kitendo hicho maana hata kama kuna kasoro ktk maumbile bado haimlazimishi mtu kufanya vitendo hivyo. Ndio maana nikasema ni kujiendekeza tu. Mungu hawezi ruhusu ulemavu huo ili watu wawe mashoga. Nadhani umenipata.
 
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu

Ningependa kujua katiba na sheria ya nchi inasemaje ndugu zangu?
 
Kuna siku niliwai kuuliza ktk mtandao furani juu ya kitu dini sikupata jibu mpaka sasa kwani mada hii inafanania sana na hiki kitu dini ebu tufikiri vya kutosha kabla ya ukoloni haya mambo yalikuwepo kweli na kama yalikuwepo ni Kwa kiasi gani kisha tulinganishe na kipindi hiki halafu ndio tuanze kujadili nduguzangu wa tz
 
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu

Zama za Kikwete mashoga kujificha haiwezekani kwani mtoto wa kwanza wa Kikwete ni shoga, hivyo anawaambia wenzake wajitokeze hadharani kwani taifa letu litatawaliwa na wase.nge hivi karibuni ikiwa Ikulu ni kwao kwa miaka tisa sasa. Hawa dawa yao ni kuwafanya kama Russia wanavyowafanya mashoga huko.
 
Naona mashoga wote 99.9% ni waislamu ukicheck majina yao. Hivi hili ni moja kati ya maagizo ya mtume? Mtu akikutania utasikia we jamaa huna ndevu ukienda mombasa au pemba au arabuni (sehemu za waislamu) unakuwa chakula ya wenye ndevu.

huo utafiti umeufanya wapi mpaka useme mashoga 99.9% ni waislam?

Ni nani aliekwambia jina ndio dini?hujaona mtu anaitwa juma lkn mkristo?

Ok,km data zako ni za kweli je kule marekan na ufaransa ambapo ndoa za mashoga zimehalalishwa na zinafungwa makanisani nako wakazi wake ni waislam kwa 99.9%?

By ze way,mbona kashfa ya ushoga imelitawala kanisa mpaka watumishi wa mungu wanadai haki yao kwamba waruhusiwe kua mashoga?mbona haya huyasemi?

Akili yako imetawaliwa na udini kiasi kwamba unapindisha ukweli,
 
Back
Top Bottom