100% ya wanawake hawafiki kileleni

100% ya wanawake hawafiki kileleni

wanawake wengi hasa wa kibongo ni ngumu kufika kileleni wakati wa mechi vichwa vyao vinakuwa hewani kuwaza mara sijui kitenge wigi langu litavurugika sijui somoe atanikoma kesho mara hela ya vikoba upatu zamu ya mchezo wa hela ijayo niombe nipewe mimi mawazo yote haya nak nk wakiwa nayo hata ukomae saa zima hafiki kileleni zaidi atakupa makelele ili umalize am kamiiinggg kumbe uooongoo mwenyewe unajiona kidume cha mbegu unaibiwa saa 3 asubuhi
 
mmmmh sio kweli mbona mke wangu kila game lazima afike kileleni kabla yangu
 
Mkuu sample size ya hao wanawake ambao hawafiki kileleni umeipataje?
 
Kufika kileleni au kutofika inategemea na kilicho akilini mwake.
Unatarajia afike kileleni wakati watoto wamefukuzwa shule na mumewe mlevi na hana kazi?
 
Maandalizi duni na pyschological problems huchangia. Wanaume tujifunze kuingia mioyoni mwa wapenzi wetu kwanza kabla ya sex.
 
Back
Top Bottom