Duh?!!,sasa walijisahau vipi hadi wasilione basi linakuja kuwapitia?.
hata mimi nashangaa, hata mlio awakuusikia au ilikua kwenye kona labda
Duh?!!,sasa walijisahau vipi hadi wasilione basi linakuja kuwapitia?.
Usifanye mchezo na Kafara! Yale ma-ngara ngara tutayasahau!
Huyu Sumry naye amezidi uchawi jamani. Yaani mabasi yake hakuna miezi miwili kupita bila kusikia ajali ya Sumry. Hachukuliwi hatua kwa kuwa mtoto wa mkulima ana hisa zake pale!hivi sumry bado wako barabarani?
Huyu Sumry naye amezidi uchawi jamani. Yaani mabasi yake hakuna miezi miwili kupita bila kusikia ajali ya Sumry. Hachukuliwi hatua kwa kuwa mtoto wa mkulima ana hisa zake pale!
tatizo la wa bongo kupenda kwenda kushangaa ajali mpaka kujaa barabarani.
Nilitegemea jf members wanafikiri zaidi GT, kumbe watu wanafikiri kiwangu hiki cha UCHAWI!!! Kwanini watu tusifikiri zaidi kidogo kujua mazingira yaliyosababisha ajali ambayo itasaidia siku za mbeleni kuliko tukawa wavivu au tukajizuia na kuishia hapo kwenye uchawi. Sasa itafika wakati kila ajali jibu litakua UCHAWI au KAFARA?.
Mkuu uliishia kusoma title tu? Ni Sumri ikitokea Kigoma kwenda Dar ktk kijiji cha Ikungi Mkoani Singida. May their souls R.I.Pjamani poleni hilo basi lilikuwa linatokea wapi kwenda wapi pengine kuna ndugu zetu humo
hata mimi nashangaa, hata mlio awakuusikia au ilikua kwenye kona labda
Vipi basi halijapigwa kiberitiImetokea usiku huu ajali mbaya maeneo ya Ikungi, Singida ikilihusisha basi la Sumry linalosafiri kati ya Kigoma-Dar.
Inasemekana mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara lori likamgonga ghafla wanakijiji wamejaa kushangaa tukio na askari akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu kumi na tatu pamoja na askari ni wa 14 mpaka sasa ndio idadi kamili ya waliopoteza maisha.
Mungu awalaze mahali pema Amina.
==========
ZAIDI:
==========
Tatizo la wa bongo kupenda kwenda kushangaa ajali mpaka kujaa barabarani.
Nilikuwa naogopa kusema ukweli huu, wengi wataangamia
Hii inafanana na ile ya Rufiji https://www.jamiiforums.com/habari-...9-zaidi-ya-watu-20-wafa-ajalini-rufiji-2.html
lamini hakuna hatua. Askari hawakuchukua tahadhari kuwaondoa watu na kuweka alama mbali kuzuia magari mengine.