bibliography
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 614
- 228
Tukusaidie nini sasa?kumgonga huyo mwanamke au?
Mjeda akitaka kukula 071 wew kata g0g*0..😀
Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.

Unatafuta kung'olewa macho hivi hivi unajiona!
Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.
bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umwangazie mpilipili apumzike kwa amani...