kama hyo elimu ndiyo maendeleo vp kuhusu yule dr. dhaifu pale magogoni mbona wananchi tunaendelea kuumia na hali duni ya maisha?kama umeamua kumpa mpe tu hata ile kitu napenda roho ya chemba ili uone sasa elimu yake ilivyo madhubuti kwenye hyo nyanja.
Nadhan hakuna haja ya kudil na outcomez zinazompata huyu jamaa kutokana na ujinga anaendelea kuufanya cha msingi ni kuhakikisha huyu bwana anaoendelea kufanya ujinga wake pale wapambanaji tunapofanyia kaz facts zenye manufaa kwa umma wa watanzania wanyonge.
ccm ni hatar kuliko hatar yoyote ambayo ulishawahi kuifikiria kichwan mwako,kila kitu wameshakiweka vzr kuharbu kila kipengengele ambacho tumedhan kinaweza kuwa na manufaa nasi wananchi.
Hv tangu wasira atangaze mwaka wa kuusambaratisha cdm bado haujaisha?kama mlishndwa kushughulikia mambo yalindan ya uwezo wenu esp kuvuana magamba hamuwez kushughulikia mambo yaliyo kwenye mamlaka ya umma wenyewe?
BTW vp wkend huwa dau linaongezeka nn toka lile la buku7maana naona kijana...
Binafsi natatizwa sana na maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika Nadharia ya Udenguzi
Aporia
Tofahirisho
Nitafurahi sana kusikia ufafanuzi wa maneno hayo kutoka kwenu.
unapa**twa nn?hv unajua namna ccm inavyofanya watoto wa kitanzania wawe vbaka na kujifunza ukahaba vyuo kwa kuwanyima mikopo kwa kisingizio cha serikali kukosa pesa hv?ww ni msh*nz,hebu siku moja jaribu kumpeleka mwanao pale ohio akajiuze alafu utupefuraha utakayoipata,kwa sasa kumpeleka mtoto...
Nadhan kuna haja ya kuunda kikos kaz hasa kwa wenzetu mlio vyuo vya dar coz hili ni janga ndg zangu tunahitaji kujua hatima yetu,so natoa changamoto kuwa kama kuna wadau upo dar plz mjitokeze ikibidi na contact zetu ili tujipange kufuatilia hili kama kama timu yawekana tukapata jibu juu ya...
Kaka upo sahihi kbsa,wadau hasa wa hapo town plz kama mna uptodate mtujuze wa mikoani hali imeshakuwa doro,wazee wa mlimani ndo kimbilio letu hapo kwa newz.tafadhal jama.
Kwa namna yoyote kamanda aliweza pia kulitumikia taifa mbali na hila za hapa na pale toka kwa watawala ambazo kwa kukosa jinsi ilibidi azitekeleze na kukandamiza haki za wanyonge walio wengi,nadhani ni wakati sasa jeshi la polisi kutambua kuwa majukumu yao si kuibinya demokrasia changa tulionayo...
Taarifa kama inaleta matumain hv ila nadhan kujahaja ya mdodosaji kusema neno hapa coz ana access nzur na tildo ila ni kama ametutosa flan hv,kama kuna mdau mwenye connection za pale atupe uptodates plz,tutakufa watoto wa maskin.
Nadhan kuja haja ya Mdodosaji kujitokeza na hapa na kutupa mawili matatu juu ya hili kwan yeye(wewe mdodosaji) ni m2 muhimu sana katika hili,wapi mdodosaji???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.