Nailani sana heslb

Tky

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
439
140
sijui inafikiri nini wanafunzi wa mwaka wa pili, ambao mwaka jana tulikosa mkopo pasipo na sababu ya msingi, yani wametuibia hela zetu na mpaka sasa vyuo vinafungua wanatuletea siasa. ushauri wangu kwa wanafunzi wote yani walio na mkopo na wasio nao tuingie barabarani tu kwani serikari ya magamba mpaka muandamane kidogo ndo inasikia. Jamani inauma sana kwan maisha ya chuo ni kama mkimbizi vile nchini kwetu
 
Afu jamani hawa wanaojita TAHILISO, haya hawayoni au wapo kwa faida ya matumbo yao.
 
hii nchi hela zipo kwenye mikono ya wachache xo mapinduzi yanahitajika ndugu zangu!
 
ndo mana nashangaa watu wanapigana kwa vitu vya kidini zaidi ya mambo kama haya ya mikopo yenye maslahi kwa uma!!!!!!!:msela:
 
Sitaki hata kuwasikia hawa,mwaka jn dogo kanyimwa sababu ni kuwa course yake sio priority,mwaka huu tna dogo mwngne kanyiwa sababu ya msingi hakuna. Na hawa wote ni orphans. Daah
 
Nadhan kuna haja ya kuunda kikos kaz hasa kwa wenzetu mlio vyuo vya dar coz hili ni janga ndg zangu tunahitaji kujua hatima yetu,so natoa changamoto kuwa kama kuna wadau upo dar plz mjitokeze ikibidi na contact zetu ili tujipange kufuatilia hili kama kama timu yawekana tukapata jibu juu ya hili,ni imani yangu kuwa mtaungana nami,inauma sana.Binafs nipo mkoani lkn naweza kuwa organizer katika hili.0713199288.Pamoja tunaweza wadau.
 
jamani, tunajitahidi kwa kila namna kukamilisha vigezo wanavyo vitaka cha ajabu bado hatupewi, kiukweli maisha ni magumu sana kwa wa sisi wa udom sababu vitu bei juu na wazazi mifuko yao haijitoshelezi kiasi kamba mpaka natamani kurudi nyumbani. jamani kama kuna mtu anaeweza kusikia kilio chetu naomba atusaidie kwani hali zetu sio nzuri. serikali tunaomba mtuangalie hata sisi mnao tuita "non priority" na "budget exhausted" au mpaka tuandamane ndo tutapewaa???? Tena kama UDOM kwenu apo wadogo ndo ntakufa kwani viongozi wenu ni maboya
 
Afu watu wa kufanya organization ya watu ni hawa TAHILISO, lakini hatuoni kazi yao na hatujawahi kusikia hata tamko lao kuhusu hi kitu, sijui wamewekwa hapo kwa masilahi yao binafsi au wanafunzi wa vyuo vikuu tz. Jamani mliopo dar jaribuni basi kufuatilia hili jambo tujue hatima yetu ni nini?
 
Mkwawa vijana tunafatilia......Mungu atafungua mioyo ya hawa watu waliosoma bure na wanajifanya walijisomesha
 
tatizo viongozi wetu wamekosa uwajibikaji,hata kutoa taarifa ya msingi tatizo ni nini? nchi hamna baba,mama wala mtoto.
 
Leo wametangaza 21bil zimeenda kwenye kamati hewa hebu tufikirie zingesaidi wangapi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom