kwa continuous waliokosa mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa continuous waliokosa mkopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Babu mchumi, Oct 10, 2012.

 1. B

  Babu mchumi Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kwa wale continuous waliokosa mkopo ambao waliomba upya kwa mara nyingine tunatakiwa tuwe na subira majibu yetu yatakuja,hata mimi ni muathirika wa hilo
  ishu iko hivi,mimi nasoma mlimani ila nahisi itakua inafanana kwa vyuo vyote,kuanzia jana continuous wote walioomba mkopo tulikua tunaandika majina yetu kwa loan officer ili bodi wawe na uhakika wa majina watakayotoa hivi karibuni
  kwa vyuo vingine kama hawajaanza kuandika hayo majina basi muda si mrefu nahisi wataanza!!

  hii ni kwa wale walio omba mkopo kwa mara ya pili!!
  hebu tuwasikilizie tuone kama ni kweli au wametuchakachua!!!
   
 2. Simolunda

  Simolunda JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Niandkie bas
   
 3. C

  Chief Nanga Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa kama inaleta matumain hv ila nadhan kujahaja ya mdodosaji kusema neno hapa coz ana access nzur na tildo ila ni kama ametutosa flan hv,kama kuna mdau mwenye connection za pale atupe uptodates plz,tutakufa watoto wa maskin.
   
 4. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa taarifa!
   
 5. nic91

  nic91 Senior Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  dah! santee kwa taarifa inatia moyo kidogo kwa sisi.
   
Loading...