Tuna sababu ya kuipigia kura CCM 2015

Tuna sababu ya kuipigia kura CCM 2015

kaka hizi sarakazi za walafi wachache wa mtandao zisitumike kuhukumu CCM yote na kufuta mazuri yake yote. Kuna good elements within CCM, hawa wahuni mwisho wao 2015 chama kinarudi kwenye mstari sawia..bila CCM imara nchi itayumba, wapinzani ni kama watoto wanaobalehe, munkari kubwa sana maarifa na uzoefu hamna,
unapa**twa nn?hv unajua namna ccm inavyofanya watoto wa kitanzania wawe vbaka na kujifunza ukahaba vyuo kwa kuwanyima mikopo kwa kisingizio cha serikali kukosa pesa hv?ww ni msh*nz,hebu siku moja jaribu kumpeleka mwanao pale ohio akajiuze alafu utupefuraha utakayoipata,kwa sasa kumpeleka mtoto chuo ni maumivu makal kwan unajua kabisa nn kitafuata kwa mwanao then unatuletea utumbo wako hapa au ni hiyo tshirt uliyopewa tangu 2010 so inakarbia kwisha sasa unataka upewe mpya 2015 hv hata pa kulala unapo ww?mwana kinyesi wewe.
 
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu.

CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM inanifanya nilinge pindi ninaptembea katika barabara zilizo nzuri, siwezi kuipigia CUF hata kidogo. CCM tofauti na vyama vingne hili nakubali.......kwa Zanzibar watu wa bara lazima tuipgie kura CCM tena kwa nguvu zote maana hiki ndicho chama kinacholeta umoja kwetu hiki ndicho chama kinachotaka maendeleo ya kila mmoja pasi na kuangalia uzawa wake tofauti na CUF, Yes hatuwezi kwenda tofauti na hili, tunaona manyanyaso tunayoyapata na ubaguzi toka kwa wapemba halafu leo CUF wapewe Nchi unadhan patakalika? Haiwezekani hakuna aliyechizi akaipigia kula CUF kwa huku Znz kwa upande wa wabongo yes tunasababu ya kufanya hili.

Sina chama lakini ntafikilia siku niende chama gani. But CCm tunawahitaji na hili ndilo litanifanya nizidi kuiombea Dua utawala wake udumu na wafanye mabadiliko ya kweli, wote mafisadi wafungwe na haki zitendeke ni chama kizuri kinachafuliwa na wachache.

VIVA CCM ALWAYS CCM
hata sisi huku visiwani bado twaihitaji CCM yakhee! tunachoisihi tu ni kuwashughulikia watu waliokosa uaminifu na uaadilifu.
 
unapa**twa nn?hv unajua namna ccm inavyofanya watoto wa kitanzania wawe vbaka na kujifunza ukahaba vyuo kwa kuwanyima mikopo kwa kisingizio cha serikali kukosa pesa hv?ww ni msh*nz,hebu siku moja jaribu kumpeleka mwanao pale ohio akajiuze alafu utupefuraha utakayoipata,kwa sasa kumpeleka mtoto chuo ni maumivu makal kwan unajua kabisa nn kitafuata kwa mwanao then unatuletea utumbo wako hapa au ni hiyo tshirt uliyopewa tangu 2010 so inakarbia kwisha sasa unataka upewe mpya 2015 hv hata pa kulala unapo ww?mwana kinyesi wewe.
unataka uniambie CHADEMA wakiingia madarakani ndo mwisho wa kuwepo kwa wanaojiuza na vibaka! Acha kutaka kuwaotesha watanzania ndoto za linacha.suala la wanawake kujiuza lipo kote duniani ikiwamo nchi kama vile marekani na nchi za scandinavia ambazo ni tajiri sana.Huko ulaya mpaka wanachangia na kodi. Vibaka wapo kila mahali duniani;wanachotofautiana ni mbinu tu.
 
unapa**twa nn?hv unajua namna ccm inavyofanya watoto wa kitanzania wawe vbaka na kujifunza ukahaba vyuo kwa kuwanyima mikopo kwa kisingizio cha serikali kukosa pesa hv?ww ni msh*nz,hebu siku moja jaribu kumpeleka mwanao pale ohio akajiuze alafu utupefuraha utakayoipata,kwa sasa kumpeleka mtoto chuo ni maumivu makal kwan unajua kabisa nn kitafuata kwa mwanao then unatuletea utumbo wako hapa au ni hiyo tshirt uliyopewa tangu 2010 so inakarbia kwisha sasa unataka upewe mpya 2015 hv hata pa kulala unapo ww?mwana kinyesi wewe.

kua civil kidogo au umetoka kwenye yale mataifa yenye hulka hizi?...unaweza kua hata siyo mtz na umesomeshwa bure hapa kwetu then now unatukana watu hovyo usiowajua. Nilishasema hii mmabo ya kuwapa kila mtu uraia ni tatizo kubwa huko mbeleni na kwa usalama wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom