hii imesahaulika:HESLB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii imesahaulika:HESLB

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by rayman m, Oct 18, 2012.

 1. rayman m

  rayman m Senior Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni wiki nzima sasa sijapata update toka heslb kuhusu cont' students.naomba aletembelea huko au tetesi atujuze wat iz going on life ni gumu macho yapo heslb!
   
 2. C

  Chief Nanga Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka upo sahihi kbsa,wadau hasa wa hapo town plz kama mna uptodate mtujuze wa mikoani hali imeshakuwa doro,wazee wa mlimani ndo kimbilio letu hapo kwa newz.tafadhal jama.
   
Loading...