Continuos students,tusaidiane

Q700

Member
Jul 4, 2012
50
6
Jamani mwenye taarifa kuusu hatima ya continuos tulio omba mikopo,ila majina yetu hayapo seemu yoyote atwambie jaman....
 
Dah! Kaka,iyo ni importn issue sn..! Vip ume waface uko juu nin? Ebu tiririka kaka,,coz wa tu,atuelewi tufanye nin!
 
Nadhan kuja haja ya Mdodosaji kujitokeza na hapa na kutupa mawili matatu juu ya hili kwan yeye(wewe mdodosaji) ni m2 muhimu sana katika hili,wapi mdodosaji???
 
Back
Top Bottom