Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,

Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua

mtani lukosi hivi mkoa wenu si kuna oparation mkono sweta inaendele!we hujan'goa mkono sweta? Maana kama fikra zako zinategemea mkono sweta?!
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

ujinga mzigo hatawewe?
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi
I think you are exposing yourself too much, hivi leo nikisema wewe ni mwizi, ni wewe unayetakiwa kuthibitisha au ni mimi niliyetoa kauli ndiye mstahili wa uthibitisho?

i dont know why ila naona unakua kama hadija kopa taratiiiibu? Wewe ni msomi, approach hii matter kisomi au kaa kimya, unatuaibisha
 
6503_612495915441765_302663021_n.jpg
 
Habari kama hizi bila picha unapoteza muda wako tu
 
Naskia idadi kubwa waliohudhuria walikuwa wamegonga viroba
Mleta mada kasema idadi ya walio hudhuria ni wanafunzi wa shule za msingi (tunafahamu J2 hakuna masomo). Halafu wewe unasema Idadi kubwa ya walio hudhuria walikuwa wamegonga viroba!!!!

Sasa tumuamini nani? Labda kwa mtu ambaye amepitia MMEMKWA ndiye hataweza kujua tafsiri ya mada hii ni nini!!!
 
I think you are exposing yourself too much, hivi leo nikisema wewe ni mwizi, ni wewe unayetakiwa kuthibitisha au ni mimi niliyetoa kauli ndiye mstahili wa uthibitisho?

i dont know why ila naona unakua kama hadija kopa taratiiiibu? Wewe ni msomi, approach hii matter kisomi au kaa kimya, unatuaibisha

Comrade!

For sure, YOU NAIL IT!
 
Hawa jamaa wa namna hii ambao wanaleta habari zisizokuwa na ushahidi na huku wenyewe wakichangia kwa ushabiki zinatia shaka! Pia itasababisha ionekane kuwa Jamiiforums inaleta habari za uongo.
 
ha ha umeamua kupima akili za wapenzi wa chadema hapa ndani...utamalizwa ww kijana kwan ujaona kuna topic hapa jukwaani imerushwa na picha za mbowe jana wanakanyagana kwa kumuona kamanda wa anga?
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

Kama umeshapata kusikia kitu kinaitwa sheria kuna kitu inaitwa BURDEN OF PROOF! Ebu google ujipatie maarifa kidogo tu!
 
Hizi post za saa nane usiku halafu wadau wanabonyezana!! "Ikitua tu idakeni" huwa siziamini katu
 
Back
Top Bottom