Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

Wanaharakati kwa nini wamefumbia macho Lulu kubakwa na Komba?
 
kaka utafiti wako una ukwel ndan yake, coz hata jana wabunge walipokuwa wakichagua wajumbe wa sadc, nligundua hata lugha ya kigen ilikuwa haipandi kwa baadh ya wabunge.

Siyo kwa baadhi wewe ulishamsikia bi kiroboto ameongea sentense hata moja ya kingereza iliyokamilika zaidi ya kuchapia kaneno kamoja kamoja na rafudhi yake
 
Ana certificate ya kupandisha na kushusha sauti.
Professional Kwaya master in Vocolist na vesi
 
jamaa anaelimu nzur ya kujiendeleza ya kiwango cha masters zaidi ya mnyika,mbowe,sugu,slaa, sugu,wenje,msigwa na hata mushumbuzi
 
mh,john komba na ba ya politics kutoka washington int univesity mwaka 2006 hadi 2008 .hii ni kwa mujibu wa site ya bunge
 
Sema kwa kifupi "Hana Elimu".

weee....weee..ishia hapo hapo hujui kwamba Mh.capt.John Damian Komba karibu anakuwa (dkt)! Anamalizia Phd yake chuo cha sanaa bagamoyo! Msiniulize kimeanza lini kutoa phd muulzen mhusika.
 
Nadhan tumuulizen lulu bila anaweza kutujuza vema si unajua kuna mahal ukifikishwa unaweza kutoa hata pin za atm
 
mh,john komba na ba ya politics kutoka washington int univesity mwaka 2006 hadi 2008 .hii ni kwa mujibu wa site ya bunge

Hiyo BA inaweza ikawa fake kwani komba alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na ana elimu ya form 4 pamoja na mkewe ambaye amenifundisha mimi alikuwa mwalimu mzuri sana wa hesabu huko lugalo primary school. amekuwa anaimba kwaya miaka yote na kilevi cha nguvu sijawahi kusikia anasoma wala amekwenda kusoma USA, halafu hiko chuo cha washington ndio kati ya alivyovitaja msemakweli kuwa si chuo bali ni danguro la kufyatua vyeti
 
Kuwa mbunge kupitia chadema lazima uwe na elimu ila kwa kupitia CCM kama unajua tu kusoma na kuandika kidogo unaruhusiwa kuwepo bungeni ili mradi unauwezo wa kutamka ndiyoooooooooo na kupiga meza kesha unasinzia
Haya, kwa wabunge wa CHADEMA unahitajika kuwa na elimu ya kiwango gani?
 
Mimi ni mtoto wa kaka yake wa kwanza,alipita mafunzo ya ualimu grd C,Ila alikuwa ni mwimbaji mzuri hata kule kanisani,ndiyo maana akapelekwa jeshini akaimbe.Bungeni kule si mnaona wenyewe,Wassira type,USNGIZI SANAAA,Hoja kidogo.
 
NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.

Makamba alianza kwa kutumbwiza katika vikundi vya ngoma, Komba alikuwa mwimbaji mzuri sana. Hizo ni sababu tosha.
 
Ngoja nimtafute thabit abdul atakuwa anajua vizuri juu ya elimu ya huyu mtu......
 
Wajameni hebu tumieni picha za komba akitongoza tongoza visichana na wake za watu tucheke!
 
Mimi ni mtoto wa kaka yake wa kwanza,alipita mafunzo ya ualimu grd C,Ila alikuwa ni mwimbaji mzuri hata kule kanisani,ndiyo maana akapelekwa jeshini akaimbe.Bungeni kule si mnaona wenyewe,Wassira type,USNGIZI SANAAA,Hoja kidogo.

Hahaha hahaha hahaha bora wapige usingizi kuliko wanavyomwaga pumba.
 
NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt kutokana na jipaji chake cha kuimba? nisaidieni kwa mnaofahamu, kuna harakati za kumngoa kule jimboni kwetu.

Amesomea Unene kwaya kuongoza Bend sambamba na taarabu fainal ubunge
 
Mie Kwa mtizamo wangu naona tabia mwenendo Wa mtu na vitendo binafsi ndio hutoa picha ya uelewa Wake hata kama hajasoma hivyo hata kama Mh komba kasoma sidhani kama hiyo taaluma aliichanganya na elimu dunia ili apate busara na elimu dunia
 
Back
Top Bottom