Recent content by Charles kiwesi

  1. Charles kiwesi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

    mapenzi ni maufundi na ubunifu
  2. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    Zomba wewe ni mjinga lakini sio --------... naamini ni ukosefu mdogo tu wa uelewa kichwani mwako na amini ukipata mwl mzuri anayefanana na mimi atakupa machache yatakayokua mengi na toshelezi katika kuizibua akili yako iliyojaa umande mgando.... zomba wewe unambeza mwl Jk Nyerere kwakusema kua...
  3. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: wabunge wa CHADEMA ndio wanapelekwa mahakamani

    Wanatumikishwa kwenye kesi za kijinga nyepesi wala hazina maana hata kidogo kwakweli hawa mawakili wa serikali hawatendewi haki hata kidogo kwa upeo wang kazi ya uwakili ni kama mcheza mpira au mwanamasumbwi kukutana na mechi ngumu ndo kiwango kinakua lakini ukikutana na kesi nyepesi nyepesi...
  4. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa Mwigulu Nchemba hajajitokeza kuongea au kusalimu wahanga?

    Napata mashaka sana na naumia sana kuona chama kilicho undwa na watu makini kama wakina Mwl nyerere kawawa sokoine karume na watu makini wengne leo hii kuongozwa na watu kama Nape na Mwigulu watu wenye fikra mgando wasio watambuzi wa alama za nyakati wenye hurka mbovu za visasi chuki na jeuri...
  5. Charles kiwesi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    We must win this game unless otherwise we won't qualified
  6. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

    R.I.P ndugu
  7. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Nani Anaua Vipaji vya Wanamuziki na Kuwanyonya(Exploitation)...... .....

    Serikali imeshindwa kuweka misingi ya hati miliki kwa wasanii clouds fm na wezi wengine wakiwemo wasambazaji wanatumia udhaifu huu wakutokua hati miliki kunyonya kuwaua kimuziki na hata kuwafirisi kwa kuweka vikwazo vingi kwa lengo la kusujudiwa kama hauku muelewa Mh sugu na ant-virus basi wewe...
  8. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Albert Mangwea (Special Thread)

    Kweli umepolomoka tena kivyote kiakiri hatari kiafya mana naamini utakua na mtindio wa ubongo ambao unasababisha kusema mambo bila kufikiri
  9. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 wa kitanzania anayetengeneza application za simu na kuwauzia nokia

    Huyo kwa vile yupo sehemu yenye fursa ndio maana ametimiza ndoto na kipaji kimeonekana Ila labda tu nimwambie Mr president kua watoto wa aina hii wapo nchini na anaweza kuwapa mkono hapa hapa nchini kama atahamua kutimiza ahadi yake aliyoitoa kwa watanzania kuhakikisha maisha bora yanapatikana...
  10. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Government summons Mawio publishers

    Kanuni zinasema kuwa Kaka mtu ametokea kutuhumu ataitwa asibitishe kauli yake au taarifa yake Mwambene fuata utaratibu kama ulivyoanza kusema ila usitumie mamlaka yako kukimbilia kufungia gazeti Juan kufanya hvyo ni kubana haki ya watanzania kupata habari kama ambavyo katiba inasema katika ibara...
  11. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

    Kaka na mimi naomba nikuulize swali kabla ya PHD kujibu swali lako kwa mtazamo wako we unadhani nani anastahiri kupata tunzo hiyo tofati na Jide
  12. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kikwete ni Rais wa ajabu.

    Kwa mujibu wajibu na uwezo nilionao kutokana na katiba ile ile ya mwaka1977. Ninauwezo wa kusema lolote pasi na kukiuka masharti sheria ama uhuru wa mwingine sasa nasema "TUACHE KUSEMA TUSIYOYAFAHAMU"
  13. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima na habari ya Ridhwani na mkewe! Huu ni ukanjanja wa hali ya juu

    Mambo yamsingi yapo kibao tena yenye tija kwa taifa hili ambalo sasa limeanza kupoteza sifa yakua tulivu na sio kukaa na kuandika mambo ya umbea umbea wakuchungulia watu chumbani kwao sasa mambo ya Ridhiwani na mkewe jamii ijifunze nini achani mambo ya kimasikini toeni taarifa za kiuweredi na...
  14. Charles kiwesi

    JamiiForums Tanzania Night lazima serikali ya ccm itambue haya

    Serikali YA CCM inapaswa kujua na kutambua kua uhai wa mtanzania mmoja una thamani zaidi ya trillion za gesi huko Mtwara hivyo basi inatakiwa kwanza kulinda uhai wa watanzania na sio kuthamini gesi kufika Dar es saalam na kuacha uhai wa watanzania wa Mtwara ukipotea. Huu kwangu night ukatili wa...
Back
Top Bottom