Nani Anaua Vipaji vya Wanamuziki na Kuwanyonya(Exploitation)...... .....

hivi kwa mfano....mwanamuziki utoe nyimbo yako nzuri sana clouds watazuia watu wasiinunue???
swali la msingi sana hili... Kwa mfano, koffi Olomide wa TZ wangapi wananunua kazi zake wakati kazi zake hazitangazwi kiivyo na clouds?i
 
hivi karibuni mr nice alipata deal ya kupiga show huko kenya.......alitakiwa apige venue kama 90 hivi na kila venue angepata btn $1000-2000 kutegemea na ukubwa.....lets say kila show angepata minimum $1000.....kwa show 90 ni $90,000..... lakini huyu bwana alipofika kule alikpiga show mbili tatu akaanza kushinda baa na wanawake wa kikenya kazi hataki....promota akampiga chini.....mtu kama huyu amechoka anaishia kulaumu mapromota na clouds fm wakati yeye ndio tatizo...hii habari nilimsikia promota wake wa kenya akisimulia ktk mahojiano na redio....
 
swali la msingi sana hili... Kwa mfano, koffi Olomide wa TZ wangapi wananunua kazi zake wakati kazi zake hazitangazwi kiivyo na clouds?i

hawa wasanii wanatapatapa tu.....wanatoa nyiimbo moja wakisifiwa wanalewa misifa wanajisahau.....hivi huyu Diamond clouds wanambeba au ana uwezo binafsi??
 
Serikali imeshindwa kuweka misingi ya hati miliki kwa wasanii clouds fm na wezi wengine wakiwemo wasambazaji wanatumia udhaifu huu wakutokua hati miliki kunyonya kuwaua kimuziki na hata kuwafirisi kwa kuweka vikwazo vingi kwa lengo la kusujudiwa kama hauku muelewa Mh sugu na ant-virus basi wewe sio mdau wa kwel katka muzik na wasanii wa nyumban na pia kama hauku wahi kumaikia Mh Sugu(Joseph mbilinyi) siku ya kwanza anaongea bungeni tafuta ansad za bunge utajua kwann clouds inahusika na uuaji muzik na nikwasababu ya huyu wanaemuita Boss Ruge
 
Unajua sio rahisi kuielezea kihivyo kama uko nje ya hii industry. Hao jamaa wa Mawingu wana fitna nyingi hata kwa kuzuia wadhamini wa maonesho ya watu wengne. Wanasimamia mialiko ya kutumbuiza hadi ya Chama tawala, Serikali na makampuni na ndio maana wakaweza kumdhulumu Mangwea 45 milions. Rugay huwa ndiye mtu wa kati pekee kwenye mauzo ya albam kwa mdosi (Mamu), usipokubaliana naye huuzi albamu yako. Wengi hamjui kinachoendelea huku.
 
Wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma lawama wanazotupiwa Clouds Media Group kuwa wanaua vipaji na kuwanyonya wasanii hasa wa kizazi kipya.

Je anaua vipaji ni:
1. Clouds Media Group-kwa kutopiga nyimbo zao au kutowaalika wasanii kwenye FIESTA ambayo ni mara moja kwa mwaka[duration 2 months]
2.Distributors ambao hununua kazi za wasanii kwa tsh 10M[mfano] na kuziuza kwa tsh 500M-hawa wamo wahindi na watanzania weusi.....wasambazaji hawa hushirikiana na mameneja wa wasanii
3.Wasanii wenyewe kwa kukosa elimu na maarifa ya kawaida tu[common sense] kunakosababisha wasijitambue na kuona mbali.

Kwanza inaonekana mind yako ushaitune kwenye hilo swali la 3 ndio unataka liwe jibu, ila ili kujibu maswali yako kwa ujumla ilitakiwa at least uwe unajua au unafuatilia huo muziki wa Tanzania..hii sio hesabu ya 2+2=4 mpaka upatiwe jibu moja kama unavyotaka as per your questions..ila hata ukijua kuwa watu flani ndio wanaoua vipaji vya wanamuziki wa TZ itakusaidia nini as wewe ni msikilizaji wa bahati mbaya tu wa kazi zao? Au ukifahamu utawasaidia wasanii kuzuia hilo?
 
Majambazi ya kazi za wasanii yapo mengi
 
jibu swali tu kama wengine wote vinginevyo keep it to urself.....kuhusu itanisaidia nini sio kazi yako hujui mipango yangu....na vilevile nitawasaidia nini wasanii silazimiki kukwambia ndio maana sijaandika.
jibu swali nani anaua vipaji au kaa kimya.....
 
akina nani hawa?promoters,distributors,radio stations,clouds??

hao si ndio wenyewe kwenye industry,?!! na ujue kila mtu ana nguvu yake, lakini wajua hapa jamaa anamiliki radio, yeye ndio promoter, yeye ndio kila kitu...unafikiri ikoje hapo?
 
clouds media ni sehemu ya watu wanaoua vipaji, hili swala limeelezwa vizuri sana na sugu mara kadhaa. jamaa wamejipenyeza na kufanikiwa kushikilia nguzo kadhaa ambazo ndio mihili ya mziki tanzania wanatumia mwanya huo kuwakandamiza baadhi ya wasanii endapo wataonekana wapo kiyume na matakwa yao
 
Mi naona wote wanategemeana kwahiyo utegemezi upo kati ya wasanii, distributors, na media. hivyo clous fm wanalalamikiwa sana hapa naona tatizo limezidi kwasababu sio msanii mmoja ni wengi sana wanatoa lawama kwao hvyo wajipange upya jamii inawakimbia sasa.
 
jibu swali tu kama wengine wote vinginevyo keep it to urself.....kuhusu itanisaidia nini sio kazi yako hujui mipango yangu....na vilevile nitawasaidia nini wasanii silazimiki kukwambia ndio maana sijaandika.
jibu swali nani anaua vipaji au kaa kimya.....

Unatoa mada ili ichangiwe tu ila huna uelekeo wowote maana mtu husikilizi muziki wala sanaa ya bongo sasa unauliza ili iwaje? Watu wamekujibu kuwa ni clouds unauliza swali jingine,'sio wasanii wenyewe?' Sasa hapo unataka jibu au ku-prolong tu mada.
 
jibu swali au changia mada kama wengine.....vinginevyo sepa......
 
Unajua sio rahisi kuielezea kihivyo kama uko nje ya hii industry. Hao jamaa wa Mawingu wana fitna nyingi hata kwa kuzuia wadhamini wa maonesho ya watu wengne. Wanasimamia mialiko ya kutumbuiza hadi ya Chama tawala, Serikali na makampuni na ndio maana wakaweza kumdhulumu Mangwea 45 milions. Rugay huwa ndiye mtu wa kati pekee kwenye mauzo ya albam kwa mdosi (Mamu), usipokubaliana naye huuzi albamu yako. Wengi hamjui kinachoendelea huku.

Ok,ss nimeelewa!ss hawa wasanii y wasiungane kwny hiz harakati?
 
Wanamuziki wanapenda sana kuungana, ila hawa jamaa wa Mawingu wametumia hila nyingi kuhakikisha umoja unavunjika.
Kwa mfano Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) liliunda kisheria chama cha wanamuziki wa Kizazi Kipya kinaitwa TUMA, lakini kwa ujanja watu wa Mawingu wakasajili kampuni BRELA wakaiita Tanzania Flavor Unit na kusingizia hicho ni chama cha wasanii na kuwapa nafasi za uongozi Mwana FA na Saidi Fella huku wao wenyewe wakibaki kuwa Wakurugenzi.
Na hiyo kampuni yao (chama feki) ndio waliyoitumia kuiba studio ya kisasa iliyotolewa na Rais JK akiwapa wanamuziki ambayo imepangishiwa na serikali hadi ofisi zake.
Mawingu wameua East Coast Team baada ya kuamua kuwa kampuni kwa ajili ya kulinda haki zao na kukwepa unyonyaji, Mawingu wameua Hard Blastaz Crew na makundi mengine.
Na kwa kuongezea tu ni kwamba, wanamuziki wote waliokuwa chini ya Lebo ya Smooth Vibes iliyo chini ya Mawingu, asilimia themanini kati yao wamekuwa mateja wa unga baada ya kunyonywa haki zao, na wengine wameacha muziki kama K Lyyin huku wengine wakiwepo huku wakibaniwa kama Banana na Lady Jaydee.
 
Dah,moyo umeniuma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom