mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

Kwa anayehusika! kama kweli mtu upo kwenye relation na mtu hata chai asichemshe? na je kwa kuwa hatujaona na mim naish peke angu nikiweka msichana ndan nikamwambia ni house girl atakasirika? eeh si ndo awe anachemsha chai,kupiga usafi n.k? ndo maana wengi wanachezewa coz wana negative mind! better to love than to never loved at all
 
Eli79
Huu ni mtizamo wangu kulingana na maswali yako...

- Ni mipaka gani wanatakiwa kuwa nayo walio kwenye mahusiano ya mwanzo(boyfriend/girlfriend), kabla hawajajitambulisha kwa wazazi?

Jibu rahisi ni kuepuka kufanya majukumu yale yapasayo kufanywa na wanandoa...

- Je, watu wakishakuwa wachumba, ni ruksa kuwa na plans za maisha yao, kuwa na projects za kibiashara na mengine....? Au plan zenu zinaanza mara tu baada ya ndoa?

Ni sawa kabisa kuwa na plans za maisha, projects na mengineyo yafananayo na hayo...lakini iwe kwa mtindo wa shareholding
 
Last edited by a moderator:
wanaume hawakurupukag kuoa ôvyo,ivo ktufikiliwa kuolewa lazima uwe na sifa za kuitwa mke,huko mpnz anaumwa unaona lufuta matapish roho inakutoka lakini vyake km hela za saloon unavipenda,hakika hyo ndoa utaisikilizia kwa wenzio,hata ningekua mim hakika ckuoi

kweli wewe boya,

unaona ndoa dili sana, ndo maana mumeo simuachi hata kwa dawa
 
Mtu unagharamia weeee halafu wenzio waparamia yaani ndo akili inapoanza kuchaji vizuri...Issue za kusomeshana, kupelekana kwa ndugu sijui kununua mizawadi sizifagi kabisa.

Kwenye hili la kusomesha Belinda jacob unaweza kushngaa sana yani mtu ana msomesha mtu baki alaf anamkimbia badala ya kusomesha ndugu zake. Ni bora kila mtu asomeshe na wazazi au ndugu zake alaf mkutane kuoana kuliko mtu kubeba majukumu yasiyo mhusu alaf anakuja kutoa machozi ooooh nilimsomesha lakini kanitenda ooooooh.

kwenye hili watu wengi wanalizwa sana
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe boya,

unaona ndoa dili sana, ndo maana mumeo simuachi hata kwa dawa

Woman easy,can u listen to urself?et boya unamwitaje boya mtu usiemjua?et na mume wangu haumuachi ng'0 that sound lunatic u dont know me so am i,and that means haujui if am somebody wife or not,ila unavyotamka maneno sasa hadi nakushanga,its not easy getting into my nerves sweetheart so u better mind ur own ur bussiness...i confess siko vizuri kurushiana maneno hasa ya mtu nisiemjua elimu itakua haijanisaidia,so from now on u can comment however you feel like ila kurushiana maneno nawe cant do that my dear....and i am happy u dont know me hakuna utakaloongea litakalonigusa maana unachofanya ni kujaribu kurusha mawe gizani haujui kama kuna watu ama lah ila unasikilizia kelele kuona kama utasikia kelele ...umenikosa mama na hata ungenijua usingeweza ku compete nami kwa lolote ungenishinda huo mdomo usiochagua nin cha kuongea
 
.....so wanaolizwa hawana sifa?
wanazo sifa mamy,now ndo nmefikilia vizuri baada ya kuisoma tena hii uzi....yote yafanyike ila c kufanya ma investment pamoja mwisho wa siku utashindwa hata kulia...ila Smile mpnz akiumwa hata maji muwekee basi na style usimpe zote
 
mapenzi ni maufundi na ubunifu
 
Thanx...
- Kwa hiyo mnaeza kufanyiana mambo ya kawaida kama giving presents, ku-spend for each other na hata kupikiana wakati wa urafiki, sio?
- Na wakati wa uchumba je, hatuwezi kuweka miradi mbalimbali ya maisha na kimaendeleo?...najua kumsomesha mtu wakati huo ni risk lakini kama mtu anapenda na anaona ni vema kumsomesha mtu wakati wa uchumba, is it bad?

labda ukubal chochote kitacho happen mbeleni sema haya mambo nayo yanaumiza
 
labda ukubal chochote kitacho happen mbeleni sema haya mambo nayo yanaumiza
Ndo maana wanasema hakuna formula ya jinsi gani umpende mtu, vitu gani umfanyie....hata ukiamua usimfanyie lolote, siku akikutenda utaumia tu...love is so mysterious!
 
I trust zombie my eyes closed, ni next of keen in most of my properties
Mie bwana pesa makaratasi hasara roho

Warning: He earned the trust, sio hivihivi tu

cc Kaunga
Hahahahah, you sound more like Zombie kuliko original zombie.
Kumbe uzombie ni kontejas?????
 
Last edited by a moderator:
yani best umenena vyema wako wengine katika mahusiano yao utadhani wameshakuwa wanandoa na kuachiana kila kila kitu na wengine wanadiliki hata kutoa pesa zao ili kumfurahisha yule mwandani wake asijesema kuwa hampendi kumbe katika mahusiano ya uchumba hakuna kitu kama hicho ni wewe kumheshimu, kumjali kwa kiasi na kumpenda kwa dhati sio mpaka unajilainisha kwake hata ............... (hii kwa wanawake) mnatoa ili msijeachika kwani Mungu alisema kwenye uchumba kitu hicho kinatolewa hovyo? si alisema tendo hilo ni la ndoa sasa kwanini unajirahisisha, unajitoa mwili wako pasipo sababu yoyote. Halafu mwenzio akishakufahamu tu jinsi ulivyo anasepa anatafuta yule aliyetulia. sasa hapo majanga yanakupata pa kukimbilia hupaoni unabaki unalia na kujuta tu. Kuwa na staha kwenye uchumba jamani
 
Woman easy,can u listen to urself?et boya unamwitaje boya mtu usiemjua?et na mume wangu haumuachi ng'0 that sound lunatic u dont know me so am i,and that means haujui if am somebody wife or not,ila unavyotamka maneno sasa hadi nakushanga,its not easy getting into my nerves sweetheart so u better mind ur own ur bussiness...i confess siko vizuri kurushiana maneno hasa ya mtu nisiemjua elimu itakua haijanisaidia,so from now on u can comment however you feel like ila kurushiana maneno nawe cant do that my dear....and i am happy u dont know me hakuna utakaloongea litakalonigusa maana unachofanya ni kujaribu kurusha mawe gizani haujui kama kuna watu ama lah ila unasikilizia kelele kuona kama utasikia kelele ...umenikosa mama na hata ungenijua usingeweza ku compete nami kwa lolote ungenishinda huo mdomo usiochagua nin cha kuongea

hahhhhaa got u!

chezeya ayanda weye, kwa uchokozi tu nilishinda tuzo. Labda elimu maana unavyoandika lazima utakua either unasoma PhD ama ni Doctor tayari.

maneno mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hadi raha
 
Mapenzi yana nguvu equally na mauti,once yakikuingia utafanya chochote hata kama ni stupidity ilimradi nafsi yako inajiridhisha kwa kufanya hivyo...wasi wasi wangu ni pande shiriki,i mean kuna kupenda,kupendwa,na kupendana..sasa kama mmependana usijali risk do craizy things as perceived kwa wanaoogopa!
 
Bora mkawa na plans tu wakati wa uchumba/urafiki, halafu wakati wa ndoa mkatekeleza.
Hapo mkitemana kabla ya ndoa si hasara, plan ziko pale pale unabadili mtu tu.
 
Ha ha ha ha, what a shame!

Highly kontejas, he earned it though :disapointed:, I guess I need help:help:

Hahahahah, you sound more like Zombie kuliko original zombie.
Kumbe uzombie ni kontejas?????
 
Back
Top Bottom