Recent content by Chanise

  1. C

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

    Tutajua yupi wa mchangani na yupi wa kimataifa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bongo star search 2015

    Namuona Frida anatisha knoma
  3. C

    JamiiForums Tanzania Bus la Shukrani

    Ni kweli ht mm nliwah kupanda miaka hyo wkt niko udom,cjui kwa sasa likoje
  4. C

    JamiiForums Tanzania Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari

    Ameingia bungeni kutembea au vp?fafanua mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Nitarud ngoja nishangilie kwanza
  6. C

    JamiiForums Tanzania Habari Nyingine Za Uzushi kuhusu UKAWA na Lowassa hizi hapa,

    Kiukwel ukifuatilia mabadiliko meng ya kiutawala ktk nch nyng lazma utakubali kuwa lowassa anahitajika UKAWA ila kwa masharti ya kuueleza umma ukweli wa kashfa zake,naunga mkono lowassa kuhamia UKAWA
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

    Mm huwa namkataza na ctak aniweke alaf mbona mm huwa simuweki?amuweke mtoto km ana mapenz ya kuweka mtu ktk profile yake
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    Km uko serious hao bora muwarudishe kijijini
  9. C

    JamiiForums Tanzania Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

    Huyu mtoa hoja aache kukurupuka,ni mwalimu gani asiyejitambua amuunge mkono mamvi?Tukutane october
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Prof. Lipumba Kigoma Mjini

    Wanachama wa CUF kigoma ni wa kutafuta ht mm nko kigoma
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kushiriki kazi za nyumbani

    Pole bro ila ungejaribu kuwashirikisha ht wazaz wanaweza kukusaidia ukapata ufumbuzi mzuri
  12. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Nahic huyo mzee amepanic manake aliyemtaja mtume ni Madabida na sio lowassa alaf bado ni sehem ndogo ya wasioelewa ndo wamekomalia hili suala.Waje na hoja nzito ktk hili
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sasa kumekucha uchukuaji fomu za Ubunge, Wasanii wajiapiza

    Hujamtendea haki Prof J ila yuko sawa kuliko maelezo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio kwa baba yako

    Labda anagombea urais wa familia yao
Back
Top Bottom