Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

Mtaji wa lowasa siku zote ni makundi mawili makuu: Matajiri wa kifisadi na masikini wa aina tatu.
1. Masikini wa kipato. Wanaotegemea lita 3 za petrol leo bila kujua kesho yao itakuwaje.
2. Masini wa akili.........wenye elimu ndogo km kina bashe au kingunge
3. Masikini wa taarifa sahihi kuhusu ufisadi na ujambazi wa lowasa
4. Mafisadi na wapigaji dili wa taifa km rostam, chenge, tibaijuka, karamagi etc
 
Mi nawaheshimu sana waalimu kwasababu mwalimu kanilipia ada hadi namaliza elimu ya juu, lakn huwa nahuzunika sana pale napoona wanadanganyika kwa vitu vidogo sana mfano kipindi kile mwaka 2005 walidanganyika kua mkuu wa kaya atawajar kwakua ameoa mwalimu mwenzao hvyo kwa kiasi kikubwa tayar anayafaham mtatzo ya waalim, wakahamasika kupga kampen na kura kwa mzee wa kaya, kilichotokea miaka hii 10 hawatasahau na mwsho wa picha wanamuuliza tu "shemeji unatuachaje"
Nikafikri wamejifunza kumbe bado? Haya bwana waalimu ila msilalamike mambo yakifika shingoni.
 
Huyu mtoa hoja aache kukurupuka,ni mwalimu gani asiyejitambua amuunge mkono mamvi?Tukutane october
 
Mlongo wewe hayo maneno yalitamkwa na yule jamaa aliyesweka lupango miaka 3 jana
 
Mi mwalimu af simkubali hata chembe... na huo umoja mnaouanzisha et umoja wa walimu komeni, lini tulikubaliana huo upuuzi...,, walimu wa kiivo wameshastaafu tuliobaki hatuna hizo swagger....acheni kutukera
Wewe kwli ni mwalim? Ata kuandika kiswahili hujui.
kiivo ni mini?
 
ocampo four

jaman hiki chama cha walimu wa wapi na kimekutana lini na waalimu kuazimia kumuunga mkono lowasa!!!nadhani hiki chama kama ni kweli kimetoa hilo tamko basi kinatumika vbaya sana
 
Last edited by a moderator:
Siasa za siasa hizo hamna lolote, kwani shemeji kawaachaje? Sera na ilani za ccm ni zile zile na lowassa ataendeleza hizo hizo….. Poleni sana na safari yenu ya matumaini najua hamtafikishwa popote
 
Ukitaka kujua kuwa Lowasa ni fisadi huhitaji kuumiza kichwa, wewe angalia tu marafiki zake: Chenge, Karamagi, Rostam Azizi na fisadi wa ubungo Bus terminal Kingunge Ngombale Mwiru
 
Ukitaka kujua kuwa Lowasa ni fisadi huhitaji kuumiza kichwa, wewe angalia tu marafiki zake: Chenge, Karamagi, Rostam Azizi na fisadi wa ubungo Bus terminal Kingunge Ngombale Mwiru

Kingunge alitemwa na JK uwaziri. Akaja kutemwa tena kwenye Unec Na baraza la Wazee. Akanyang'anywa tenda ya kukusanya ushuru ubungo. Ndio maana anamsapoti Mamvi ili wakiingia Ikulu amteue tena kuwa waziri... wapige madili! Ni msaliti namba moja Wa Mwalimu JK Nyerere!
 
Back
Top Bottom