Yeah hata mie natoaga ila naniliu tuuu nayo kwa nadra sanaaaa!!
Kitu pesa kinahitajika kitolewe kila siku. Ila hicho kitu naniliu sijui ni nini hiyo naniliu siyo lazima utoe kila siku, kwa nadra inafanya usiichoke. Kila siku ukizoea inakua shida.
Pesa lazima nipewe muda wowote, ila naniliu inatoka kwa nadra ili iendelee kuhitajika.
Mi nshawahi kuweka picha ya demu flan ivi ili kumtia moto dem anaenzingua...
Lakn vp uyo dem alijikok au
Hapana. Pesa unaweza ukapewa kila siku lakini siyo muda wowote. Na hata siku zingine usipewe kabisa kama hakuna ulazima. Unajua nini, kutoa au kutokutoa naniliuu kwa nadra haimanishi ndiyo kigezo cha kuendelea kuhitaji tena na tena. Unaweza ukatoa mara moja na mtu akaghairi kuitaka tena. Unaweza ukawa unatoa mara kwa mara, na mtu akapagawa akawa anataka kila mara. Tatizo ladha.
Mi nshawahi kuweka picha ya demu flan ivi ili kumtia moto dem anaenzingua...
tumia ttcl tu mkuu
Usifurahie tu, na wewe pia ujue kutoa, siyo kupokea tu.
huwa sijali aweke asiweke kwanza kutangazana tu kuoana hamna
labda hilo la nne...ayo matatu yana madhara gani kwa aliyewekwa?
Najua sanaa, we unadhani kwanini hela zinazidi kumiminika?? Teh teh, usinichimbe nkaja toa siri za jeshi bureeee, kwaheri.
Siri za jeshi, ni ya kwamba unaweza sana na ni jemedari hodari. Au ndiyo gusa unase.
Basi kuwa mpole mpaka usifiwe.