Ikulu sio kwa baba yako

issa mweusi88

Member
Jun 23, 2015
7
0
Jamani, kuna katoto nimekaona Instagram na wapambe wake eti kamechukua form ya kugombea urais na ukiangalia hata sifa za kugombea hakana mana umri wake ni mdogo. Ila nahisi utakuwa mchezo mchafu wa kuchafuana miongoni mwa watangaza nia.
 
ile ni fasihi imetumika kk!dogo anachomaanisha ni jinsi watu wanavyodhalilisha ikulu kwa kuchukua fomu hata kwa wasio na vigezo!
 
Back
Top Bottom