Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,212
Kwa akili za darasa la saba ulizonazo kama kubenea mwenyewe alivyoishia hilo hilo la saba basi ni kweli keshaingia
Mbunge kutoka ccm prof maji marefu pia ni lasaba pia mkuu!!
Kwa akili za darasa la saba ulizonazo kama kubenea mwenyewe alivyoishia hilo hilo la saba basi ni kweli keshaingia
Mbunge kutoka ccm prof maji marefu pia ni lasaba pia mkuu!!
Alifukuzwa kwa kumsaga mazaako
Kwa hiyo kumbe mazaako hata la saba hana!! Teh teh
Ni kweli ni sababu ya mazaako
Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari,tena saidi kubenea atashinda kwa kishindo kikubwa sana,utafiti. Utafiti wa kitaa unaonyesha ndugu kubenea ashaingia bungeni kabla hata ya kura zenyewe
Hiyo siyo hoja hapa hoja ni kwamba anaakili gani ya kuwaletea maendeleo watu wake.
Alifukuzwa kwa kumsaga mazaako
Daa kama umewekewa bastola mdomoni!
Hoja ni nini wajomba? SAED KUBENEA kachukua UBUNGO au katia nia UBUNGO? Vp kuhusu MNYIKA?
Msibabaishwe na huyo zuzu
Hakuna wa kumtoa Mnyika Jimbo la Ubungo
Amewabwaga wenzake wote kura za maoni
bangi.saidi kubenea ashaingia bungeni teyari,tena saidi kubenea atashinda kwa kishindo kikubwa sana,utafiti. Utafiti wa kitaa unaonyesha ndugu kubenea ashaingia bungeni kabla hata ya kura zenyewe