Biashara siku zote ni shughuli ya wizi "uliohalalishwa kwa ujanja" na ujinga wa upande wa pili wa mkataba husika. Mjinga huyo akielimika na kugundua udhaifu uliomuumiza hana budi kulazimisha mabadiliko katika biashara husika ili wafaidi pande zote bila dhuruma kati yao. Wazungu tangu enzi ni...
I AGREE WITH MCHAMBAWIMA. Kagame should stop meddling in Burundi affairs. Watu wenye akili wanajua ni Kagame anayetaka Rais wa Burundi aachie lakini yeye anataka kutawala maisha!!! Mambo gani haya !!
Wanaofahamu hali halisi ya Burundi wanajua kwamba Nkurunziza anapendwa sana na wananchi. Maandamano na ghasia zinafanywa Bujumbura na vijana wanaochochewa kirahisi na wapinzani kama ilivyo kawaida katika miji ya nchi nyingi. Wapinzani huwa na nguvu mijini siku zote kwa "wajuaji" kuliko kwa...
Gwajima kwa vigezo vyovyote si askofu, si lolote au chochote katika uongozi na ukristo. Ni mpayukaji tu asiye na chembe ya busara wala ukristo kimwili na kiroho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.