Tundu Antipas Lissu

Tundu Antipas Lissu

Unaanzisha thread ndefu ambayo haina mashiko! Unawera wera tu huna point. Mbona hujibu maswali ya tundu lissu aliyouliza, kwani leo?
 
Nafarijika sana nikipitia mitandao ya kijamii kwani 90% ya wadau wanamuunga mkono Eddo sasa sijui kura zipigwe humu humu afu ma admn ndo wewe wasimamizi

Unakuta mtu huyo huyo kwenye uzi mmoja ameapia mara 5 ,kusisitiza lowasa lowasa
 
SLAA ANASEMA LOWASSA HAKUJA NA WATU WA MAANA ZAIDI YA BODABODA .....KWANI BODABODA SIO WATANZANIA HALALI?????

poa tumemwelewa SLAA tena sana na tunakubali lowassa ni fisadi la kupindukia ILA KURA ZETU TUTUMPAA.

TOKA LINI UFISADI IKAWA SERA YA CCM?????
 
Lissu ana reflect uelewa wa viongozi wengi wa ukawa..... Ni genge la wahuni kiukwel
 
Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa kuzungumza na Wanahabari jana. Wakili Msomi ndugu Tundu Lissu aliibukia Voice of America Idhaa ya Kiswahili akijibu Hoja za Slaa kwa style ile ile iliyozoeleka na Chama chake ya KUCHAFUANA.

Wengi mnajua alichoongea hasa hasa akimuingiza mchumba wa Dr. Slaa kuwa anahusika na move aliyoifanya Dr jana. Ninaamini kuwa kwa Chama makini kama CHADEMA walipaswa kuzipangua hoja za Slaa kuliko walivyomtuma Lisu kuongezea hoja juu ya hoja na kuibua interest za wadadisi kujua uadilifu wao.

Katika suala la Josephine kuhusishwa imefikia hata kumdhalilisha Dokta kwa kusema alitupiwa virago vyake nje akalazimika kulala ndani ya gari. Ina maana CHADEMA wanafuatilia mpaka mahusiano ya unyumba baina ya members wake!

Nimeshangazwa kuona kwamba Hoja na tuhuma alizotoa Slaa haizibiwi bali vijana wa CHADEMA mitandaoni wanatumia muda wao mwingi kubeza, kudhalilisha na kupaka matope hoja hizo. Kuna mmoja amefikia kusema kuwa TRENI LIMEKATIKA BREKI HALIWEZI KUSIMAMA akimaanisha kuwa Slaa hawezi kuzuia nguvu na mchakato wa mabadiliko. Sasa napata kuelewa maana ya maswali ya Dr. Slaa alipouliza kuwa Lowassa anakuja na kundi aina gani? Vijana wa Boda Boda au waliokosa ajira? Mwenye upeo finyu hawezi kupambanua hili swali.

Suala la ASSET na LIABILITY limekuwa hoja kubwa sana hadi kufikia kumuuliza alipotoka CCM 1995 alikwenda CHADEMA alikuwa asset? Aina hii ya udadavuaji wa Hoja imenifumbua macho kwamba asilimia kubwa ya wasomi wetu walihudhuria shule na hawakuelimika. Aina ya maswali wayaouliza mitandaoni ni picha tosha ya kukosa fikra.

MBELE KWA MBELE ni msemo ulioshika chati sana sasa. Ikumbukwe kwamba hawa wanaosema hivyo wanasukumwa na utashi wa watendaji wa serikali waliofeli kwenye utendaji wao na wakakimbilia CHADEMA ili warudi nafasi zao walizoondolewa.

Narejea kwako Tundu Lissu.

Unapoamua kuonyesha mwelekeo wa aina ya majibu yanayofaa kumjibu Dr. Slaa umeficha hekima yako na kuonyesha upumbavu wako.

Hufai tena kuendelea kuaminiwa na hufai kujiita Mzalendo wa nchi hii kwani umeshaonyesha dalili za ulevi wa kisiasa hata hujitambui. Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo kabla na baada yako na kikundi chenu.

Mkuu unaposema Lisu hafai kuaminiwa wala hafai kujiita mzalendo, unapata wapi hiyo authority? wewe ni nani? Nchi hii ina watanzania more than 45 mill, kama kundi kubwa la hao unawaita hawana elimu na waendesha boda boda wanataka changes, who are you to stop them?
 
Unawaita wenzio genge la wahuni huku umejificha nyuma ya keyboards, ukiulizwa umeifanyia nini nchi hii zaidi ya lawama nyuma ya keyboards hutakuwa na la kutuambia.
 
Huyu mama shida yake Alitaka aingie magogoni, Dr. alishiriki kwa kila hatua kwa vile hakuwa na uchu wa madaraka. First lady hakukubaliana na issue nzima ya kuikosa Ikulu kaamua kumwaga mboga, mama katumiwa muda mrefu maccm yaka take advantage kwa udhaifu wa huyu mama na Makamba ndiye alikuwa kiunganishi. Mzèe kasalimu amri hii picha ni kwamba mama ndiye ana sauti nyumbani. Hata musa hakufika nchi ya ahadi japo aliiona kwa mbali. GOOD BYE DR. WAPENDA MABADILIKO TULIKUPENDA SANA ILA MACCM NA MKEO WALIKUPENDA ZAIDI. ALUTA COTINUAA. MWAKA HUU KATI YA CCM NA JIWE KURA ZETU TUNALIPIGIA JIWE. Enough is enough.
 
CHADEMA/UKAWA jibu Hoja za msingi za Slaa mueleweke la sivyo kawamaliza Dr.
PHP:
 
Mkuu unaposema Lisu hafai kuaminiwa wala hafai kujiita mzalendo, unapata wapi hiyo authority? wewe ni nani? Nchi hii ina watanzania more than 45 mill, kama kundi kubwa la hao unawaita hawana elimu na waendesha boda boda wanataka changes, who are you to stop them?

Umeshajaribu kuyauliza hayo maswali kwaupande wako?
 
Umepoteza muda wako kuandika haya yote wakati ukijua ni upuuzi. Na kawaida mpuuzi ufanya upuuzi bila kujua ni upuuzi na kujikuta amepuuzika.

Mbona wewe unapoteza muda wako kushabikia mtu ambaye unajua kabsa hawezi kua raisi wa jmt, kama unaweza kufanya mambo mengine fanya maana siasa ni sanaa ya watu walio safi tu
 
Hakuna shaka kabisa LIssu alishindwa kupangua hoja na akaja na ad hominem kibao. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa yote yanayosemwa kuhusu Josephine na ushawishi wake kwa Slaa hajayasemwa bado kuhusu Regina na ushawishi wake kwa Lowassa. Inawezekana kabisa mwanamke mwenye nguvu zaidi katika hili ni Regina na ndiye ambaye amemsukumiza Lowassa kwenye makoo ya WanaCDM huku yeye mwenyewe akikaa pembeni...

Ouuuch...
 
I didn't know that anger is also haunting you
 
Slaa anaitisha vyombo na kufanya live as if ni mtu muhimu sana na kwa faida ya nani? Hapo sijapata jawabu.

damage slaa aliyokusudia ilikuwa impate nani?? Na nani ana gharamia hayo matangazo live?

mimi ingekuwa dr slaa ningesema hv;naacha siasa kwasababu hizi .... Period.
Sio kubwabwaja maneno yasio kuwa na msingi wala ukweli. Kama mtz anauwezo wa kwenda mahakamani kufungua kesi juu ya madai hayo.

Ni wazi slaa umehongwa na kupatiwa hela kuivuruga nchi na ukawa. Wewe bila kusita ni msalti.
 
I didn't know that anger is also haunting you

Nathani umekosa hoja na kuanza kumleta mama lowasaa ndani ya siasa hz za maji taka. Kumbuka hakuwahi kuwepo kwenye siasa kama mke wa slaa.
Kwanza tumshukuru Mungu slaa hajawa raisi wa tz maana angeamka na kufanya maamuzi sababu mke wake kasema liwe.

Huwa natharau sana wanaume wanaopelekeshwa na wanawake zao.
 
Mkuu unaposema Lisu hafai kuaminiwa wala hafai kujiita mzalendo, unapata wapi hiyo authority? wewe ni nani? Nchi hii ina watanzania more than 45 mill, kama kundi kubwa la hao unawaita hawana elimu na waendesha boda boda wanataka changes, who are you to stop them?

Nawe unaongea kwa mamlaka ipi?
 
Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa kuzungumza na Wanahabari jana. Wakili Msomi ndugu Tundu Lissu aliibukia Voice of America Idhaa ya Kiswahili akijibu Hoja za Slaa kwa style ile ile iliyozoeleka na Chama chake ya KUCHAFUANA.

Wengi mnajua alichoongea hasa hasa akimuingiza mchumba wa Dr. Slaa kuwa anahusika na move aliyoifanya Dr jana. Ninaamini kuwa kwa Chama makini kama CHADEMA walipaswa kuzipangua hoja za Slaa kuliko walivyomtuma Lisu kuongezea hoja juu ya hoja na kuibua interest za wadadisi kujua uadilifu wao.

Katika suala la Josephine kuhusishwa imefikia hata kumdhalilisha Dokta kwa kusema alitupiwa virago vyake nje akalazimika kulala ndani ya gari. Ina maana CHADEMA wanafuatilia mpaka mahusiano ya unyumba baina ya members wake!

Nimeshangazwa kuona kwamba Hoja na tuhuma alizotoa Slaa haizibiwi bali vijana wa CHADEMA mitandaoni wanatumia muda wao mwingi kubeza, kudhalilisha na kupaka matope hoja hizo. Kuna mmoja amefikia kusema kuwa TRENI LIMEKATIKA BREKI HALIWEZI KUSIMAMA akimaanisha kuwa Slaa hawezi kuzuia nguvu na mchakato wa mabadiliko. Sasa napata kuelewa maana ya maswali ya Dr. Slaa alipouliza kuwa Lowassa anakuja na kundi aina gani? Vijana wa Boda Boda au waliokosa ajira? Mwenye upeo finyu hawezi kupambanua hili swali.

Suala la ASSET na LIABILITY limekuwa hoja kubwa sana hadi kufikia kumuuliza alipotoka CCM 1995 alikwenda CHADEMA alikuwa asset? Aina hii ya udadavuaji wa Hoja imenifumbua macho kwamba asilimia kubwa ya wasomi wetu walihudhuria shule na hawakuelimika. Aina ya maswali wayaouliza mitandaoni ni picha tosha ya kukosa fikra.

MBELE KWA MBELE ni msemo ulioshika chati sana sasa. Ikumbukwe kwamba hawa wanaosema hivyo wanasukumwa na utashi wa watendaji wa serikali waliofeli kwenye utendaji wao na wakakimbilia CHADEMA ili warudi nafasi zao walizoondolewa.

Narejea kwako Tundu Lissu.

Unapoamua kuonyesha mwelekeo wa aina ya majibu yanayofaa kumjibu Dr. Slaa umeficha hekima yako na kuonyesha upumbavu wako.

Hufai tena kuendelea kuaminiwa na hufai kujiita Mzalendo wa nchi hii kwani umeshaonyesha dalili za ulevi wa kisiasa hata hujitambui. Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo kabla na baada yako na kikundi chenu.

Msanii hongera sana na uchambuzi wako. This is very true. Wote waliojitokeza hawajibu hoja za Slaa. Wanabaki kukanusha tu. Lakini hii ndio jamii yetu. Hata siku moja hatujibu hoja. Halafu mtuhumiwa ni LOWASA, kwanini yeye ndio ajibiwe na watu wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom