Elections 2015 Magufuli atashinda lakini mabadiliko hayaepukiki

Tunajua hivi sasa waandishi wengi wa habari mnataka kunrithi salva pale ijulu mwandishi wa raisItajumbukwa juwa salva ndio aliongoza kutumia kalamu yake kuwatukana wapibzani wa jk jtk kinyanganyiro cha 2005. Hata wewe naona tayari umehiajiri kwa kazi hiyo.
 
Atashinda shindano la kuvuna pamba,au pushups?hata huko hawezi shinda .CCM iwahi kujiorodhesha kwenye jumba la makumbusho ya taifa!
 
Napenda kumwambia Johnson Mbwambo, magufuli hawezi kushinda kwa haki hata afanye nini. CCM haiwezi kushinda kwa haki!!! Labda waibe, wakishindwa wamshurutishe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atangaze matokeo batili kama ilivyokuwa wa Kenya. Otherwise sio rahisi. Fanya utafiti rahisi tu, sehemu yoyote umekaa, iwe baa au hotel au kijiweni, angalia wastani wa watu wanaosapoti ukawa na wale wa CCM. Kwenye watu 10 wa ukawa watakuwa 8 na wa CCM 2 au mmoja. Hata kama kijijini wakaja na wastani wa 6 CCM, 4 ukawa. CCM hawawezi shinda. Unadanganywa na mafuriko ya CCM ya kubeba na malori. Lakini mambo yamebadilika. Na kwa taarifa yako, hao watu wa ukawa wanaojaza mafuriko wanapiga kura. Kama ulitegemea ni sawa na miaka mingine iliyopita watu wanashabikia upinzani na hawajajiandikisha, you must go and get your head examined. Tatizo unatumia muda mwingi upo nyuma ya keyboard ya computer, hujui hata hali halisi ya mtaani. Huna tofauti na mkapa aliesema wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa. Kikundi cha watu wachache wanadhani wanajua sana watanzania wanataka nini.. Na wanataka kutuamulia pia. Don't insult our intelligence
 
Magufuli hawezi kuleta mabadiliko ndani ya ccm....he is best kama angekuwa nje...akiingia hapo atafanya kazi ya kulinda maslahi ya waliomtangulia.....no such a thing.....amkeni nyie
 
Rais anasikilizwa sana tena kwa umakini na watu wanamulewaa..upande wa wenzetu ni kelele tu na mbwembwe wanatengeneza muvi za kuanguka kifafa. Tare 25 wataanguka kiukweli.

Kama mgombea Urais ana shahada ta usanii unategemea nini?

Lowassa ni msanii kweli kweli.

Ninachokifahamu, usanii wake hauwezi kumpeleka Ikulu.
 
Napenda kumwambia Johnson Mbwambo, magufuli hawezi kushinda kwa haki hata afanye nini. CCM haiwezi kushinda kwa haki!!! Labda waibe, wakishindwa wamshurutishe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atangaze matokeo batili kama ilivyokuwa wa Kenya. Otherwise sio rahisi. Fanya utafiti rahisi tu, sehemu yoyote umekaa, iwe baa au hotel au kijiweni, angalia wastani wa watu wanaosapoti ukawa na wale wa CCM. Kwenye watu 10 wa ukawa watakuwa 8 na wa CCM 2 au mmoja. Hata kama kijijini wakaja na wastani wa 6 CCM, 4 ukawa. CCM hawawezi shinda. Unadanganywa na mafuriko ya CCM ya kubeba na malori. Lakini mambo yamebadilika. Na kwa taarifa yako, hao watu wa ukawa wanaojaza mafuriko wanapiga kura. Kama ulitegemea ni sawa na miaka mingine iliyopita watu wanashabikia upinzani na hawajajiandikisha, you must go and get your head examined. Tatizo unatumia muda mwingi upo nyuma ya keyboard ya computer, hujui hata hali halisi ya mtaani. Huna tofauti na mkapa aliesema wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa. Kikundi cha watu wachache wanadhani wanajua sana watanzania wanataka nini.. Na wanataka kutuamulia pia. Don't insult our intelligence
Hoja zako hazina ukweli kama upo ukawa bila ya shaka utakuwa umezunguukwa na marafiki wa ukawa na hizo ndio hesabu zako za kusema kila mtu anaunga mkono ukawa..Mimi nilikuwa nawakubali sana cdm ila baada ya ujio wa EL nikasusa ndio anachosema mwandishi,inaonekana kwa nguvu ya pesa anawatumia wamsafishe huku yeye akichekelea moyoni..
 
Matusi anayajua Bulembo ,Nape,Mkapa na wewe

Mbwambo ccm imekufanya mlichafue gazeti lenu pendwa, na hakuna tena atakayelinunua ni bora ungebaki hukohuko kijijini maan hizo makala hakuna atakayezisoma tena! Gazeti likishajiweka upande wa watawala halina maan tena! Gazeti lenu lilikuwa la wanyonge sasa mmeamua kushabikia wenye nguvu sisi wanyonge tunaotka mabadiliko nani atatusemea? Hivi kweli unaweza kwa akili yako timamu eti kusema magufuli ataleta mabadiliko? Na sio Lowasa ambaye atakuwa na timu mpya ya watu wenye mawazo mapya na ambao wamekuwa wakikosoa mfumo uliopo kwa muda mrefu? Eti unaenda kijijini kulima! Kulima wapi wakati unaenda likizo kujilia hongo ulizopewa? mmeliua gazeti lenu wenyewe!
 
Taja hicho kijiji, inawezekana umefanya tathmini kijijini kwenu ambako ccm inakubalika halafu ukageneralize nchi nzima.
 
Wewe ni wale wale wenye hangover ya chama kimoja. Wanavyosema wazungu, bad habits die hard! Mapenzi yako kwa mgombea wa CCM ni dhahiri na nisingeshangaa ungeandika hivyo hivyo kwa mgombea mwingine yeyote wa CCM mbali na huyo 'I am a politians'! Wewe unajua fika kilchoendelea Dodoma wakati Magufuli anaokota embe, kama we in mwandishi mzuri, kwa nini hukuukemea uovu huu na ubakaji wa democrasia uliofanywa kamati ya maadili? Au unajifanya hujui yaliotendeka Dodoma? Kwa akili yako ewe mwandishi unafikiri wale wote waliokatwa kihuni walikubali matokeo? For your information they are still very bitter, they just can't say it publicly na wanajitahidi sana ku put up a brave face kwenye mikutano yao ya kampeni. Karibu wote walikunja mikia na wale waliojaribu ku fungua midomo baade nao wakaufyata pia. Magufuli hakuwa chaguo la CCM, wewe kama mwandishi unalijua hilo na bado unadhani ndie atakaeshinda October 25th. Kwa hiyo yeyote angepachikwa na CCM angepita tu! Kwa maoni yangu hata Edward Lowassa angeweza shinda urais kama jina lake lingepita. And by the way, wewe kama unaweza kutumia taaluma yako ya uandishi kama unavyo brag, ni lini ulimkemea Mkapa kwa kujiuzia Kiwira Mines alivyokuwa madarakani? Ingelikuwa ni China jina hilo lingekuwa historia. Ni kwa nini mpaka leo Kikwete hajatoa majina ya cartel ya wauza madawa ya kulevia hapa nchini na alisema anayo list ya majina? Kama Magufuli atapita, which I doubt, ninategemea utamwambia nyumba zote za serekali zilizouzwa kimizengwe mizengwe zirudishwe, ukiachilia scandal zingine za vivuko etc. Nakutakia break njema huko mashambani and I hope hangover itaisha October 25.
 
Mbona hii ya Lowassa kulipa kisasi kwa Kikwete na Chadema hamuijadili? Inaonekana ina ukweli, la sivyo ingepingwa hapa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom