Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

Burundi rejects African Union peacekeepers as 'invasion force'

then fine! I am not going to respond to your baseless accusation! white guys write a report then you pick up and run... no question no nothing... your arguments based on rumors and that is stupid indeed!

What about reports written by Rwandan refugees, in foreign countries, we read reports from them too, or maybe them together with whites are just a bunch of crazy jealous guys inventing story.
 
Hoshea uko sahihi.Kagame ni mzuri sana kwa propaganda
 
Ooh Kagame anaisumbua sana Burundi, OK AU inaleta wanajeshi 5000 kulinda Amani Burundi mnaanza tena ooh hatutaki wanajeshi wa AU Burundi na mkilazimisha tutachukulia ni kitendo cha uvamizi na tuta "Act accordingly" haya Kwanini hamtaki wanajeshi wa AU Burundi, sisi hatutaki tu, OK nami nasema mtapigwa tu mpk kieleweke maana hakuna namna nyingine.
 
Kama Hilo jeshi la AU kuna wanajeshi toka Uganda au Rwanda basi Burundi wakatea kufa na kupona.
 
Ni swala la muda tuu Nkurunziza ataachia tuu,extremist wenzake Rwanda 94 walikuwa wanasaidiwa na France sasa yeye anasaidiwa na nani,nchi maskini hata uchaguzi walichangisha wananchi,ngoja aanze kushindwa kulipa mishahara labda kina Vyuma watamchangia

Aisee Koba, hadi nimecheka! I am sure tout are talking without reasoning. Remember, Burundi is a sovereign country, no any country has an authority to send troups in Burundi under the umbrella of AU. I could agree if that country is unable to fight its enemies. Sasa Burundi wameweza kuwachapa wafuasi wa kagame in a minute hadi mchambawima1, koba, gentamycine decided to shift th? battle in JF. Please, let rundians d?cide their own of leaving as well as solving their problems. To say Burundi ni nchi masikini sana,hizo ni fikra za kikagamekagame ! Rwanda ilikuwa inakuwa kwa kasi kwa sababu mpwa wenu hyporite kanambe(Joseph Kabila) wa drc anawasaidia kuiibia drc. Anaiba madini, mbao na kila kitu ili kuboresha nchi yake ya Rwanda.
 
mchambawima1

Hivi troops contributing countries was hiyo intervention brigade ni kina nani?

What is the legal basis ya hiyo intervention?

Hivi kuna repercussion yoyote for such denial?

I AGREE WITH MCHAMBAWIMA. Kagame should stop meddling in Burundi affairs. Watu wenye akili wanajua ni Kagame anayetaka Rais wa Burundi aachie lakini yeye anataka kutawala maisha!!! Mambo gani haya !!
 
not at all! you simply don't get it... nashangaa kuona unauliza hilo swali wakati kila siku unashinda hapa JF lakini unajifanya haujuwi uextremist wa Nkurunziza na wahuni wenzake! haya kama ulikuwa haujuwi kwa nini watu wanamuita extremist basi fuatilia kwa makini...
+154 young men killed. Mass graves reported and Burundi Government admits hastily burying "several bodies"

CWr2MUGUkAA6oX3.jpg

Ais?e mchambawima1 sasa ulitaka wakawatafune? Watu wameuawa, ndugu hawajawachukua au hawajawatambua ulitaka wakawale? Hata huku Tanzania mtu akifa kama hajatambuliwa na ndugu, manispaa wanamzika. Sasa nenda ukaone anavyozikwa, utashangaa.
 
the same extremist who rejects African union peacekeepers accepted the SA to take care of him after the Arusha peace agreement... he didn't trust the Burundi security forces then...
here we go....

CWncSb5WUAE72HM.jpg

Have you forgotten that it is Buyoya with his extremists hima who killed president Melchior Ndadaye by using the tutsi soldiers who were his guides? Let him trust whoever he want!
 
Kwani anawaua bure, me naona ana retaliate, sababu wanamvamia wanataka kumuua, sasa kama ww watu wanataka kukuua utafanyeje.

Turudi kwa hao wavamiaji kwenye kambi za jeshi ni kina nani hao, na kwanini kuna tuhuma toka UN na serikali ya Bujumbura kwamba wanafadhiliwa na Kagame, au UN nao wanawasingizia.
Na kwanini vurugu zinasikika Bujumbura peke yake.
Ishara zote zinaonyesha kuna mchezo mchafu sana unachezwa, prior to these Burundi election sijawai sikia Nkuruzinza kawinda watu awaue, ila Kagame kaua mpinzani wake South Africa, kaua Tz, Belgium nilisoma mmoja alikoswa koswa na RPF fortunately yake Belgium police waliwashtukia majamaa wakamwepusha, vitisho alivomchimba JK.

Haya ni mambo yametukia nikiwa na akili timamu achana na story zingine za kusoma na kufuatilia, mtu ukiwa neutral ukafuatilia hizi mambo zenu utaona kabisa Kagame na some guys wa ethnicity yake, baadhi wapo humu, ni tatizo.

Najua utapinga, ila ukweli haupingwi.

Umesema kweli kabisa mkuu! Hivi karibuni nilikuwa Burundi, ukweli vurugu zipo Bujumbura tu, tena baadhi ya mitaa na sio Burundi nzima au Bujumbura nzima? Why in Bujumbura? It is because kagame anataka kumuua nkurunziza ili watutsi wenzake ama Buyoya, Hussein Radjabu au Alexis Sinduhije waweze kuwa rais wa Burundi ili kusimika hima empire ukanda wote wa afrika. Lakini pia kuna hili, upo ushahidi wa wazi kabisa kagame alitaka kumtumia nkurunziza amdhuru rais mstaafu kikwete wa Tanzania ili kutimiza neno lake la "i will hit you on th? right time at the right place". Nkurunziza alikataa kushiriki ujinga huo ndio maana paka anamchukia sana nkurunziza. Na alitaka kumtumia nkurunziza kwa sababu yeye na kikwete zinaiva sana. Baada ya kushindwa kwa hit yake hiyo ndio akawashawishi uhuru Kenyatta na muhima mwenzie museveni waitenge Tanzanie kwenye eac wakaanzasha th? willing coalition, hayo yalikuwa mambo ya kagame kumtenga kikwete baada ya kushindwa kumuhit!
 
don't be stupid! you ask and conclude at the same time, so what do you want? do you have any material evidence to support accusations?

Na wewe unazo suppotive documents for your allegations ? Haya machapisho ya propaganda na picha zako za photoshop ndio unaita ushahidi kwa vijituhumatuhuma unavyovitoa dhidi ya serikali ya nkurunziza?
 
then fine! I am not going to respond to your baseless accusation! white guys write a report then you pick up and run... no question no nothing... your arguments based on rumors and that is stupid indeed!

Na hivi vichapisho ulivyoviweka umevitoa wapi ? Wameandika wazungu au waafrika? Na kama ni waafrika basi ni wanyarwanda wa kitutsi ndio waliokupa huu ugoro na vipicha duka uje utubandikie hapa halafu useme ni ushahidi.
 
Ooh Kagame anaisumbua sana Burundi, OK AU inaleta wanajeshi 5000 kulinda Amani Burundi mnaanza tena ooh hatutaki wanajeshi wa AU Burundi na mkilazimisha tutachukulia ni kitendo cha uvamizi na tuta "Act accordingly" haya Kwanini hamtaki wanajeshi wa AU Burundi, sisi hatutaki tu, OK nami nasema mtapigwa tu mpk kieleweke maana hakuna namna nyingine.

Burundi ni nchi huru mkuu, you can't rise from nowhere unaamua kupeleka uchafu wowote unaoutaka. Waulize viongozi kwanza, mnao uwezo wa kutatua matatizo yenu ? If yes, then let them free to solve their disputes! Hayo ya kupiga nayo i think you are just pleasing yourself ! Muulizeni kagame mbelenge analokumbana nalo Burundi !
 
Nasema hivi 'uchafu' wa AU hautapelelwa Burundi kama unavyouita wewe na wananchi wa Burundi endeleeni kutwangana,Uzuri majengo ya AICC hapa Arusha yapo tutawasaidia kuweka mahakama nyingine ya ICC
 
Kuna mashaka makubwa; kile walichokipigania wanyarwanda katika utawala wao siku chache zilizopita, ndio wanakipinga katika serikali ya Burundi. Tena ni watutsi kwa wingi wao. Maajabu haya.!! Leo wanyarwanda wanauchungu na kutambua haki za binadamu kwa taifa jirani ijapokuwa serikali yao ndio inaongoza kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa katika ukanda wa maziwa makuu.

Paul Kagame ni ugonjwa, na dawa yake ilikuwa Jakaya Kikwete. Kwa sababu propaganda alizotaka kufanya kupitia M23 zilizidhibitiwa na Jakaya. Leo chanzo cha matatizo ya Burundi ni shinikizo kutoka nchi jirani kwa nia ya kuendeleza utawala wa kikabila.

Hivi wewe hizo story za kagame kuingilia Burundi mnatoa wapi? watu wavuruge katiba kupisha uraisi leo eti Kagame ndio tatizo endelea kuwatetea wajinga wale watwangane mpaka kieleweke halafu mje humu muendelee kuimba Kagame,na mkiambiwa AU iingilie iwasaidie mnalia eti Burundi ni nchi huru,huru gani wakati secret police na mgambo njaa wa Nkurunziza wanaua wananchi wasiounga serikali kwa kisingizio ni wavamizi wanasaidiwa na Rwanda,Nkurunziza will be defeated soon and no doubt about that ni swala la muda tuu na sitashangaa akiburuzwa mtaani kama kina Doe
 
Burundi ni nchi huru mkuu, you can't rise from nowhere unaamua kupeleka uchafu wowote unaoutaka. Waulize viongozi kwanza, mnao uwezo wa kutatua matatizo yenu ? If yes, then let them free to solve their disputes! Hayo ya kupiga nayo i think you are just pleasing yourself ! Muulizeni kagame mbelenge analokumbana nalo Burundi !

Huru gani mnaua opposition in the name of waasi,Nkurunziza in big trouble hata jeshi lenyewe hana support 100%,ukishaona unaua ili uendele kuwa kwenye power huna legitimacy tena,and don't fool yourself Kagame has nothing or interest na utumbo wa Bujumbura,kuna nini cha maana zaidi ya njaa na interahamwe wa Bujumbura,kama ni interest ya Kagame ni muwe na amani ili muwe soko tuu na sii zaidi ya hapo
 
the same extremist who rejects African union peacekeepers accepted the SA to take care of him after the Arusha peace agreement... he didn't trust the Burundi security forces then...
here we go....

CWncSb5WUAE72HM.jpg
Kwani wewe Mrundi? Nkuruzinza anakuhusu nini!!! A.U peacekeepers wa nini, kwani Serikali ya Burundi imeshindwa kuwadhibiti waasi wa kuchongwa wanao kuwa financed kupata mafunzo ya kutumia silaha za kivita kutoka kwa majirani zao!! Unafikiri Nkurunzinza hajui kwamba majeshi yatakayo husisha the so called C.O.W wanaweza kula njama za kumtoa pumzi Nkurunziza/kuangusha Serikali yake,kila mtu mwenye akili timamu anajua kwamba M7,PK na UK walikuwa hawawapendi akina JK na Nkuruzinza kutokana na misimamo yao kuhusu masuala ya EAC,leo hii watu wanakuja kuleta pendekezo la majeshi ya COW kulinda amani Burundi - come on!!

Nkurunzinza is smart upstairs,mtu kama huyu sirahisi kumchezea and besides kwa nini wahusika hawachukulii seriously ushahidi wa wafanyakazi wa UN kwenye makambi ya wakimbizi huko Rwanda,migogoro na vurugu zinazo endelea mjini Bujumbura watu hawajiulizi hivi inakuwaje machafuko yako confined Bujumbura tu na si Burundi nzima kwa nini? Jibu ni kwamba Majority ya Warundi huko vijijini na miji mingine wako bega kwa bega na Nkuruzinza.

Ukweli unabaki pale pale kwamba chanzo cha machafuko kinatokana na majirani wake hakuna siri tena hapo,International Community inawajibu wa kukemea njama hizo na sio kumlahumu NKURUNZINZA na kama tatizo ni kuongeza vipind vya kutawala mbona M7,PK na Ngueso wanataka kutawala milele why pick on Nkuruzinza.
 
Huru gani mnaua opposition in the name of waasi,Nkurunziza in big trouble hata jeshi lenyewe hana support 100%,ukishaona unaua ili uendele kuwa kwenye power huna legitimacy tena,and don't fool yourself Kagame has nothing or interest na utumbo wa Bujumbura,kuna nini cha maana zaidi ya njaa na interahamwe wa Bujumbura,kama ni interest ya Kagame ni muwe na amani ili muwe soko tuu na sii zaidi ya hapo

Mkuu KOBA hivi unayo yasema hapa yanatoka rohoni mwako kweli? Msitumie visingizio vya Interahamwe kuwavuruga majirani wenu,watu wamekwisha choshwa na MANTRA zenu za Interahamwe na genocide mnazotumia kutekeleza ajenda zenu za Siri, Nkuruzinza anawahusu nini Wanyarwanda watawala kwa nini mko overly concern na mambo yake??
 
Kuna mashaka makubwa; kile walichokipigania wanyarwanda katika utawala wao siku chache zilizopita, ndio wanakipinga katika serikali ya Burundi. Tena ni watutsi kwa wingi wao. Maajabu haya.!! Leo wanyarwanda wanauchungu na kutambua haki za binadamu kwa taifa jirani ijapokuwa serikali yao ndio inaongoza kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa katika ukanda wa maziwa makuu.

Paul Kagame ni ugonjwa, na dawa yake ilikuwa Jakaya Kikwete. Kwa sababu propaganda alizotaka kufanya kupitia M23 zilizidhibitiwa na Jakaya. Leo chanzo cha matatizo ya Burundi ni shinikizo kutoka nchi jirani kwa nia ya kuendeleza utawala wa kikabila.

Mkuu umemaliza kila kitu. Huo ndio ukweli pekee!
 
Nasema hivi 'uchafu' wa AU hautapelelwa Burundi kama unavyouita wewe na wananchi wa Burundi endeleeni kutwangana,Uzuri majengo ya AICC hapa Arusha yapo tutawasaidia kuweka mahakama nyingine ya ICC

Mahakama inamsubiri paka, arukeruke sarakasi zoooote za kujilimbikiza madarakani lakini siku moja tu atadakwa kwa mende akajibu mashitaka ya mauaji ya kimbari. No paka no genocide !
 
Na hivi vichapisho ulivyoviweka umevitoa wapi ? Wameandika wazungu au waafrika? Na kama ni waafrika basi ni wanyarwanda wa kitutsi ndio waliokupa huu ugoro na vipicha duka uje utubandikie hapa halafu useme ni ushahidi.
Mkuu jamaa hawa ni mahili sana katika masuala ya propaganda,uwezi kuamini fedha zinazo tumiwa na Serikali ya Rwanda kurubuni waandishi wa habari na magazeti ya ndani na nje, si hilo tu wana mpaka ma lobbyists kwenye Bunge/Serikali ya Merikani!!

Kuna wakati fulani Balozi wa Merikani kwenye Umoja wa Mataifa alikuwa ametekwa akili na Balozi wa Rwanda kwenye Umoja wa Mataifa - wanawake hao wawili walikuwa vituko kweli kweli,yaani Balozi wa Merikani akinyanyuka kunzungumzia masuala ya Rwanda na DRC ungefikiri amepewa Govt handout za Serikali ya Rwanda kuitetea - alikuwa amejisahau kabisa kwamba yeye anawakilisha Merikani na sio Rwanda, sijui Obama alimshitukia alimuondoa fasta UN na kumuhamishia kwingine!
 
Back
Top Bottom