Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Wengi mnaishi kwa mapokeo. Endelea kuvaa magauni na huku hamumjui Yesu.
Halafu Mavazi ya Kikuhani ni SUTI.. HHHHHHHAHHHAAA
Halafu Mavazi ya Kikuhani ni SUTI.. HHHHHHHAHHHAAA
Hawa wana JF hebu nilikoroge!!
Is it a coincidence?
Usikurupuke, tulia na uisome mada uielewe.We unayesema bado hujui Ukiristo ndo maana hujajua umeandika nini zaidi ya kufurahisha hadhira. Hii inaonyesha we si wa Kiristo. Me sikukubaliana na alichofanya Pengo kwa 100%. Ni msaliti wa Maagano. Kama sehemu ya jopo la maamuzi hakusitahili kukana yaliyokubalika na wote.
Huku ni kujipendekeza kwa CCM.
Anasitahili kukaywa.
ila naye pengo kimbelembele mno, kahhh. inafaa atulie
Usikurupuke, tulia na uisome mada uielewe.
Wengi mnaishi kwa mapokeo. Endelea kuvaa magauni na huku hamumjui Yesu.
Gwajima kwa vigezo vyovyote si askofu, si lolote au chochote katika uongozi na ukristo. Ni mpayukaji tu asiye na chembe ya busara wala ukristo kimwili na kiroho.
Kwani vazi la Suti ni mapokeo ya nani
Katika miaka ya hivi karibuni kumezuka kundi la populist preachers ambao wamejipa uaskofu bila kuwa na sifa ya cheo hicho.
Kuna wazee wa upako,maaskofu wa misukule,wale wa milima ya moto,hata wale wa saa ya ukombozi kile tunachoona sasa ni udhalilishaji wa Ukristo na dini kwa ujumla.
Wengi wao lengo ni moja tu-kujipatia kipato kupitia dini na mahubiri na hakuna kinginecho.
Mimi si mkatoliki lakini kitendo cha "Askofu" Gwajima kumkashifu Askofu Pengo hadarani ni cha kulaaniwa.
Kitendo hicho peke yake ndio kinaonyesha mioyo ya hawa maaskofu wa mitaani,wasio na usomi au wito wowote wanavyoshindwa kwa simple test ya uvumilivu na busara.
Gwajima amejifedhehesha!
Hatujasahau,alianza na misukule!!!tuwambia kila siku hao ni waganga wa kienyeji hamsikiiii
Alipokuwa anaropoka pale alitarajia siku akiitwa Polisi atakwenda na Mh. Lowasa ili akamtetee.
Kumbe jana kaenda peke yake mwishowe Presha juu.
Anachezea sheria huyu.
Hapo wamemuhoji tu akalazwa hospitali MMC. Je akifikishwa Mahakamani itakuwaje!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Yajazayo moyo wa mtu , huonekana kwa matendo yake.
Mahakamani nani atafingua madhitaka??nani mlalamikaji???
Mwambie pia Pengo aache unafiki. Kama alikuwa hakubaliani na hoja za maaskofu kwa nini alisaini waraka ule usomwe kwenye makanisa yake?
Hebu tuonyeshe aliposaini huo waraka...