MZEE SERENGETI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 214
- 10
salama yukopowa sana
Ni Mrs Yvvona Raymond Mwinyihula
Kweli kaka. Yuko kama amekulia maisha ya wanaume tupu. Wanaosema anavutia kimapenzi,labda ndio chaguo aina yake.mimi huwa naona havai mavazi ya kike, anavaa mashati na ana posi za kiume. sisemi kuwa ni msagaji lakini posi zake ni za kiana fulani hivi, halafu anaongea polepole sana haongei harakaharaka ili kusevu muda wa tv, anapoteza muda kutoa mimacho na kujifanya anaongea point kumbe anaboa. ukimwangalia kwa makini, anaweza kuwa alikulia kwenye familia ya watoto 5 wa kiume na wakike akiwa peke yake, ana element fulani hivi ambazo huwa zinanitia kichefuchefu. huo ndio ukweli toka moyoni mwangu. si unajua mimi nachukia sana wasagaji na mashoga...
Mimi kuna dada mmoja wa star tv alikuwa anaitwa Joan Itanisa alikuwa ni mrembo sana yaani nilikuwa nikimuona mapigo ya moyo yanabadilika ghafla yanakuwa kama pikipiki ya mchina.Kiukweli dada alikuwa mrembo halafu alikuwa hana maringo kabisa.
Ni mtangazaji anayetamka neno kwa neno kwa ufasaha mkubwa sana.
Tuwatieni moyo watangazaji wetu mahili kama huyu ili vijana wetu
wengine waige mfano wake.
Zaidi ya hapo itakuwa ni wivu na chuki binafsi kwa binti mrembo kama yule,
pengine labda ni jinsi tu anavyoongea vema bila wasiwasi wala hofu.
Binafsi nampongeza na kumtakia kila la heri katika kazi yake.
totally confused!!!! nitamchek leo nijionee mwenyewe, huwa anatangaza kipindi gani na saa ngapi?
kuwa makini Bro!
Ntakumwaga ubongo!
Ebwana kuna dada flani alikuwepo star tv miaka ya 2006 hadi 2009 mrembo kweli alikuwa ana kipindi cha urembo na pia alikuwa anatangaza taarifa za habari simuoni siku hz kaenda wapi? Ana rangi ya chocolate na macho kama kala kungu.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Joan Itanisa alijiendeleza na sasa ni assistant lecturer kwa saut