Recent content by CHAKATI MKATO

  1. CHAKATI MKATO

    Nina tatizo la kupata choo kwa shida sana

    Mkuu habari, vipi ulipata msaada wa tatizo maana nilikuwa nataka nije na thread kama ya kwako. Kwa kifupi mapata shida sana tatizo lilianza muda kidogo sijawahi kuligundua ni kwamba ilikuwa me kukosa choo kwa week japo nakula ni kawaida tu sikuzingatiaga hadi nikaja pata constipation...
  2. CHAKATI MKATO

    Nimeamini ni rahisi sana mwanaume kujiua kama hauna pesa

    Habari za jumapili wanajukwaa, Kwanza nitangulize kuwasalimu mdugu wa jukwaa pendwa wana MMU, natumai Mu wazima wa afya mnaendelea vyema na kulijenga taifa letu la uchumi wa kati.. Twende kwenye maada aisee WANAUME Ttuna mambo mengi sana usipokua na afya njema ya akili utaishia kuwa kichaa au...
  3. CHAKATI MKATO

    Kuna uhusiano gani kati ubahili na Umaskini?

    Habari wana jukwaa, Kwa muda mrefu sana nilikuwa najiuliza hivi watu wanaotoaga ofa bar kwanini huwa hawaishiwi, au wanaotoaga misaada mikubwa pia kwa nini wanaendelea tu na maisha yao afu mimi ambaye sifanyi hivyo maisha yangu hayajabadilika kitu yapo vilevile. Kwa muda mrefu sana nilikuwa...
  4. CHAKATI MKATO

    Hii ni siku ambayo nilidhalilishwa sana kwenye Kadamnasi. Sikuwahi isahau

    Kijiwe kimoja cha draft jamaa katangulia goli moja mbele. Akafungwa mbili akatolewa jamaa akamsindikiza na maneo naona ulitangulia gheto ukavaa boxer ya kiume ukijua nitakuacha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. CHAKATI MKATO

    Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Wakuu IFRS Radical hebu tumien screen recorder tuone jinsi mnavyomfunga huyu dalmax maana hadi sasa inaonekana nyie mmemfunga michezocmingi sana.. Mimi naambuliaga draw tu nimewahi kushinda mara mbili tu mechi zaidi ya 1000 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CHAKATI MKATO

    Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

    Kwa uzoefu wangu binafsi wa kujaza fomu za maombi haya online nafahamu ya kua lazima uwe na kitambulisho nida cheti cha kuzaliwa au kiapo cha kuzaliwa cha kwako then kuwe na cheti chakuzaliwa cha mzazi mmoja wapo au kiapo chake, barua ya utambulisho serikali ya mtaa, barua yako binafsi ya ombi...
  7. CHAKATI MKATO

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hata me nilikua na kiosk niliachana nacho 2018 February nilikua naziuza sana pepsi big Sent using Jamii Forums mobile app
  8. CHAKATI MKATO

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Ya kwanza shot on stock ya pili kwa gcam simu lg g7thinq Sent using Jamii Forums mobile app
  9. CHAKATI MKATO

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hahaha nilikutana na mtu ana mwandiko kama wa malafyale liverpool nilicheka sana aisee... Hiyo jukwaa lina radha hadimu sana
  10. CHAKATI MKATO

    Mrejesho

    Mkuu itabidi nilete uzi wa kushuhudia maana nmeshashuhudia kukutana na mwanamke mzuri humuhumuna sasa tupo kwenye maandalizi ya ndo haya mwezi wa nne nikitulia nitaandika uzi
  11. CHAKATI MKATO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss ingia kwanza uangalie maana wenzio hatuzioni
  12. CHAKATI MKATO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wakuweka mzigo kuna mtu aliwahi kufundisha jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia nyingine kama mtu anaukumbuka ule uzi namba anitag
  13. CHAKATI MKATO

    10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

    Fair to mention T-GWAN the dirty south kid alifanya fresh sana na hebu pitia kucheki bila kusahau boshoo dizasta vina chuma mbeya boy
  14. CHAKATI MKATO

    Unapenda kusikiliza Album gani?

    Zipo nyingi jcole kod forest hill drive kendrick good kid mad city na damn, one the incredible soga za mzawa niki mbishi sauti ya jogoo stereo African son billie eilish when we all fall a sleep .... kwa uchache
Back
Top Bottom