Members naomba msaada wenu.
Nasumbuliwa sana na kukosa choo and ikitokea nakipata inakua mithili ya choo cha mbuzi. Mpaka nakuja kupresent hapa nimetumia dawa nyingi sana kama lactulose(osmolax ),bisacodyl ambayo ilinifanya niharishe but still the problem is there.
Nikaenda Regency, nilipopimwa wakasema nina h.pylori nikapewa dawa ambazo kwa idadi zilikuwa nyingi lakini nimetumia pasipo msaada. Kuhusu matunda nakula papai kubwa kila siku,maji na mboga za majani ila bado tu. Nikienda toilet naambulia gesi tuu nikijilazimisha ndo natoa hicho cha mbuzi.
Ni dawa ipi itanifaa au niende Hospitali ipi maana nakata tamaa kwa sababu ninachokiambulia kwa sasa ni weight loss tu. It is a serious problem for not less than 3 yrs now.