Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Sijambo Kigori. Uwepo wako tu uliojaa afya tele kwangu mimi ni baraka tosha sihitaji kingine.
Mimi sijambo kabisaa
Namshukuru Mungu kwa kweli, anazidi kunibariki. Vipi wewe eti, hujambo?!