Hii ni siku ambayo nilidhalilishwa sana kwenye Kadamnasi. Sikuwahi isahau

Kabisa.....nlikuwa naanza kujawa upepo.... Nikakosa kufikiria.

Wewe kilichokufunga sio kwamba hujui bali yale maneno ya shombo,na kwakua alikua tayari kashakutoa kwenye mchezo kweli angekupiga super
 
Natafuta sana hivi vijiwe niwe naenda sikiliza masimango ya wanaofungwa.


Pale nje ya Shule ya Sekondari Kambangwa karibu na mahakama ya Kinondoni, kuna kijiwe cha kahawa cha Msisiri. 2002 nilijichanganya kukalia benchi nitest viwango vyangu nikaona na wa upande wa pili naye kainuka, hataki kucheza na mimi. Wenzake (kisanii, maana najua wanaujua mchezo wao) wakamuuliza, vipi bingwa mbona unainuka, akawajibu maishani mwake hajawahi kucheza disco toto, yaani mimi sio size yake.

Basi wakamuita mtoto mdogo mpita njia eti ndio akae acheze na mimi. Njoo cheza na mwenzako :D :D, dah. Ile kamecheza tu kete ya kwanza, nikasikia wooote kwa pamoja wanasema "heko", nikicheza mimi utasikia "mmmh, bora ulivyosimama...ulikuwa na kesi ya mauaji. Yule dogo alinifunga asee, maana si kwa mbeleko zile
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

mkuu ungesogea na wewe utolewe marinda kama hao jamaa wengine
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna lile draft la kwenye PC ukishinda mtoto mkali anavua nguo kadri unavyoendelea kushinda....lile nlikuwa nashinda mpaka wanavua na ngozi kabisa.....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huwa wanakuwa na lugha ya kuudhi sana na kukera.


Ukicheza vibaya, alafu mchezo unakaribia kuisha, wapembeni, wanamwambia jamaa, kamtumbulie mbali huko, hapa atanuka.
 
Hahahaha mkuu kwenye mabewe lugha ya matusi ni kawaida sana na hua na enjoy sana kuangalia pambano ambalo magwiji wakicheza halafu wawe na maneno ya shombo

Kuna siku nilienda kijiweni nikakuta kadogo kanawafunga wazee halafu kanachezea draft mkono wa kushoto. Nilipofika tu nikakuta kuna mzee ndio anatolewa nje baada ya kufungwa na hicho kidogo.

Mzee wakati ananyanyuka dogo akamuambia mzee hizo goli nilizokupiga hutakiwi kukaa hapa kanawe kwanza ndio uje tena

Daah wakati nastaajabu kuona mtoto akimtolea maneno ya shombo mdingi, kuna mzee mwingine akaingia, yule mzee aliyetoka akawa anampa kete kwa kumpisha mzee mwenzake ili aendelee kucheza na yule dogo ambaye anawasumbua, yule mzee akamjibu mzee mwenzake kua weka kete chini usinipe mkononi usije ukaniambukiza gono ulilopewa na huyo mtoto

Mzee akaendelea kucheza, yule dogo akampiga force kingi mzee halafu dogo akamuambia yule mzee "hebu visha hiyo kingi kabisa maana maradhi ni mengi"
 
huu mchezo una tambo zake na hutakiwi kuwa na hasira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom