Recent content by chaboo

  1. chaboo

    JamiiForums Tanzania Watu kwa mamia washuka majiani Arusha

    network busy!!
  2. chaboo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    sasa sielewi kinachoendelea ktk siasa zetu, kashfa hizi za mbowe, zitto znaninyima usingizi, sioni ndoto yangu ya tanzania yangu, sioni mtetez wa wanyonge, kila mtu anachumia tumbo lake sio ccm, cdm, cuf yaani wote wahuni katika rasilimali za nchi. chamsingi ngoja nihangaike na mimi kutafuta...
  3. chaboo

    JamiiForums Tanzania Sijamwelewa Mh. Ndugai leo

    mh! kaaazi kwelikweli
  4. chaboo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiteka Urambo

    picha mkuu
  5. chaboo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    siasa kitu cha ajabu sana hasa kwetu tanzania, hoja iliyoibuliwa bungeni na mwigulu nchemba kwa mbowe inanipa mashaka labda kutufanya watanzania tusahau uongo aliotuletea bungeni mh. zitto kuhusu mabilion ya uswizi na sasa hoja kubwa ni kumjadili mbowe, dah! siasa inataka moyo sana bila ivyo...
  6. chaboo

    JamiiForums Tanzania Ifm

    ngoja nimwulize Nape
  7. chaboo

    JamiiForums Tanzania Kiongozi chadema: Ziara ya dr.slaa kigoma,mwanza na tabora, ni woga wa mbowe na slaa.

    mwambie nchemba akulipe vzr, ufikiri upya
  8. chaboo

    JamiiForums Tanzania Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

    hapo si kijijin mzee, unafikir mbagala ndo pajae?
  9. chaboo

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

    nzuri hiyo, ongeza unaa
  10. chaboo

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    pesa za sabodo alichukua mbowe au chadema?
  11. chaboo

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    chanzo cha habari yako mkuu
  12. chaboo

    JamiiForums Tanzania January Makamba atunukiwa tuzo ya NDI Democracy Award nchini Marekani

    mbona sisi ubunifu wako hatuja usikia mkuu??
  13. chaboo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    picha kwanzaa!!
  14. chaboo

    JamiiForums Tanzania Speed ya CHADEMA, CCM hoi Mwanza, Tabora, Shinyanga, Kigoma...

    kaaaziii kwelikwelii
  15. chaboo

    JamiiForums Tanzania Picha: Wafuasi wa CHADEMA zaid ya 500 Singida warudisha kadi kwa Prof. Lipumba

    wanarudisha kadi za cdm au wameenda kuchukua kadi za cuf?
Back
Top Bottom