Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
- Thread starter
- #41
Ndege wafananao na wapendanao huruka pamoja hivyo ni rahisi sana kujua kundi lako ni lipi kati ya kundi la wazalendo na kundi la MAFISADI
Mnaiga tu msamiati wa UFISADI, na inavyoonekana hujui unamaanisha nini!! hebu lete tafsiri yake.