Recent content by chabeby

  1. C

    Tundu, Zitto wasisitiza chadema ni shwari

    ushwari huo uliosisitizwa uwe ni ushwari kweli kusiwe na ushwari wenye vinyongo nadani yake.. wapenda chadema tunataka kukuona chama chetu kikiwa imara na kuzidi kuwapeleka puta mafisadi kama tulivyo fanya kwenye uchagzui uliopita. mouddymtoi
  2. C

    Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

    mimi nimependa sana msimamo wao maana hauonyeshi chembe ya unafiki. Wenzao cuf wamesha onyesha wazi kuwa wao wameungana na ccm kwa hyo cuf na ccm lao moja. Mtoi
  3. C

    GE2010 WanaJF: Natangaza nia kugombea jimbo la Lushoto Mjini

    Kaka mambo vipi pole kwa pilika pilika za kampeni, Natumaini baada ya kutangaza nia utakuwa unatujuza mtanange wa kampeni unakwenda hapo lushoto kwa sasa maana tunajua kuwa shekifu hatakubali kuona damu changa inampiga chini na tayari wananchi wengi wa lushoto wanajua kuwa shekifu ni mwana...
  4. C

    Sakata la Umeme Nchini: Dr. Rashid Alikuwa Sahihi na kamati ya Bunge Ilikosea

    penye ukweli uongio hujificha hata kama utachukuwa muda nrefu kiasi gani? kwa haya ya mgao tunayoyashuhudia leo kama yamesababishwa na mvutano wa kisiasa kuliko kitaalauma kama ulivyoonywa basi wabunge wetu ni wenda wazimu na ni wasema hovyo bila kuangalia matokeo ya kile wakisemacho. Nani...
  5. C

    Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

    Maisha bora kwa kila mtanzani ndio hayo! sasa tuseme nini na ndio kauli mbiu?? heri kuwalinda mafisadi wasibughudhiwe kuliko kuwapa huduma bora wanafunzi wa maskini? kwani ni mbunge yupi au waziri gani mwenye mtoto anaye soma kwenye shule kama hii? kama jibu ni hapana basi tuwe wapole tu, they...
  6. C

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    Haya tena!! msanii wetu kutoka maeneo ya chuo cha sanaa Bagamoyo amekuja na jipya!! kwa nini asingekuwa na hotuba ya wazee wa Dodoma halafu akawa na hotuba na wabunge hasa tukichukulia wakati huu ambao ni muhimu sana kwake na kwetu wananchi kutokana na nchi yetu kuwa katika hali tete kwa...
  7. C

    Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

    Sasa naamini kuwa CCM na serikali yake ni MATEKA wa MAFISADI!! watanzania tumekosa nini? kufa kwa Mwalimu Nyerere ndio kumewafanya viongozi wa CCM kuwa vipofu namna hii? kinacho wafanya wanamn'gang'a nia FISADI nini? huyu jamaa anaitoa wapi jeuri yake? Kwani viongozi wetu wamenunuliwa kiasi...
  8. C

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    Huyo mama inaonekana ni mwizi mwizi yeye kafuata nini huko wakati watoto wanakaa chini hawana madawati? hawana walimu wa kutosha kwenye mashule huyo ni mwizi tu hawezi kutu convice kuwa sio mmoja wa mafisadi wa wizi wa kura.
  9. C

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi kkuwataja watafuna nchi ambao wao kawaita mapapa! hao ndio wanafanya tunaishi kwa umasikini huku wenyewe wakiwa na uraia wa nchi mbili! Mimi napna hiyo TCRA nayo imeanza kuwa kichaka cha mafisadi maana...
  10. C

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi kkuwataja watafuna nchi ambao wao kawaita mapapa! hao ndio wanafanay
  11. C

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi
  12. C

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    hao ni wajinga kuna ishu za kudeal
  13. C

    Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

    MENGI AMFUNIKA KIKWETE! Wadai wenzangu hasa sisi maskini wa nchi hii tajiri inayoliwa na wajanja mapapa nadhani siku ya jana Mtanzania mwenzetu ameandika Historia mpya katika Tanzania yetu inayozidi kuibiwa kila kukicha. Ujasiri aliouonyesha Mzee Mengi niwa pekee maana naamini kama Rais Jakaya...
  14. C

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Kwani serikali yetu iko wapi? Jamani mwenzenu mimi nashangaa!! kweli inawezekana wananchi wanashida ama niseme haja ya kupata utajiri wa haraka, na hii ni kutokana na hali ya maisha magumu yanayowakabili na hawajui lini hali hii itakwisha maana kila kukicha afadhali ya jana! Serikali yenyewe...
  15. C

    Rostam, Lowassa wafumwa kikaoni

    Hawa jamaa wana njama gani? Tatizo sio kuwa wao kufanya vikao! wala kufanya kwao vikao si tatizo lolote kwetu, kwani hawa jamaa ni maswahiba wa siku nyingi walioshibana wakafikia hata hatua ya kuihujumu nchi kwa kuhusika kwao kwenye deal ya kitapeli ya Richmond iliyoingiza nchi kwenye Hasara...
Back
Top Bottom