GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
hayo ni maneno ya kisiasa tu lakini mgogoro upo tu..
tumeona migogoro mingi kwenye serikali za sehemu nyingi nchi mbali mbali..
wanapatana kwa maslai yao binafsi tu ndipo wakija kwetu wananchi wanatudanganya kwa mgongo wa chupa.. sina hakika na wanachokinena. Cha msingi tuombeee mazuri a migogoro isiwepo ili kuwantoa wanaoshikilia nchi kwasasa
Umesema kweli mkuu ndani ya CHADEMA hali si shwari kabisa wasitake kutufanya sie sio wachambuzi wa mambo. Au ndio mambo ya funika kombe shetani apite ? .