Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 24, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mmoja atoe maelezo ya kuhusika kwake na wizi wa EPA na Dowans (kabla sijaamua kujitolea kumsaidia kurahisisha kutiwa pingu kwake ) na tena aeleze kwanini ya Al-Adawi walibuni hii mbinu ya kufungua kampuni ya Dowans kwenye Free Trade Zone kule Costa Rica mahali ambapo hawana ofisi wala jengo na kampuni hiyo iko mfukoni mwa mwanasheria asiyejuliikana na haionekani kwenye taasisi zinazoandikisha biashara na wale kwenye orodha ya makampuni yaliyopo kwenye hiyo trade zone! na mwingine ajitolee kutoa maelezo kwanini alisema fedha alizorudisha za Kagoda ni za baba yake marehemu wakati jina lake na jina la baba yake hayaonekani kwenye nakala za Kagoda.

  Vinginevyo, time is up!
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mkjjj.

  naona wote jana (Rostamu na Manji) Mengi kawataja hadharani kuwa ndo kati ya mafisadi papa hapa nchini mwetu..

  sasa waanze kukujibu wewe au wadeal na Mengi kwanza?
  Jana pia Mengi katuachia swali tujiulize wanapata wapi kiburi hichooo?? Jibu ni CCM kupititia viongozi wake waandamizi.
   
 3. k

  kela72 Senior Member

  #3
  Apr 24, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, wale maharamia hawana cha kumjibu Mengi, yule mzee amewkilisha tu kilio cha chinichini cha watanzania wengi. Wanatakiwa watujibu watanzania woote, kwanini wametufanya mgodi wa kwanufaisha wao tu!? pia watujibu kwanini tusiwachukulie hatua kali kabisa kwa ujambazi wao dhidi ya nchi yetu?
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mimi nadhani ushahidi ambao serikali imekuwa inasubiri umepatikana tena bure. Sasa ni wakati muafaka serikali ifikishe watu hawa mahakamani, ambapo Mengi kajitolea kuwa shahidi muhimu. Vingevyo umma uchukue hatua hiyo badala ya serikali. Hivi hapa Tz hatuna wanasheria waliokwishavua mshipa wa woga? Kama wangekuwepo basi saa ya wao kufanya kazi ni sasa!!
   
 5. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanasheria wetu nao kale kaugonjwa ka ubinafsi wa matumbo yao bado kana wasumbua mnooo...

  ila LHRC wao natumai ni kituo cha kujitolea kisheria kwa mambo kama haya labda wawe wanachagua ishuu za kudeal nazo..

  ni kweli Mengi kawakilisha kilio cha walio wengi ila watu muhimu kwangu si hawa mafisadi sana ila WALE WANAOWAPA KIBURI HICHO...ambao ni serikali ya CCM...

  Jamani hata upande wa jiarani zetu hapo MOI alionekana kwa haraka kama tatizo ila wakagutuka kumbe mfumo wa KANU ndo wa kungoaaaaaaaaaaaaaa.....
   
 6. Z

  Zahir Salim Member

  #6
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakutiwa pingu kwanza ni MKAPA, ANNA MKAPA, IDDI SIMBA, KARAMAGI, MSABAHA, CHENGE, SUMAYE, LOWASSA. MZINDAKAYA, NEMROD MKONO, na MENGI, baada ya hapo ndio Wafuate ROSTAM na Wenzake.

  FISADI Hana RANGI, Kama lazima wawe ni WEUPEEE Peke yao na WEUSI NDIO HASA MAFISADIIIIIII Sheria ianzie Juu na ni Msumeno ikate kote koteeeeee
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Hivi nyie mnadhani kuna atakae toa maelezo ndani ya serikali iliyo jaa mafisadi kibao. hapa hakuna maelezo wa pingu, subirini mjionee wenyewe.
   
 8. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tunaanza na tulio na ushahidi dhahiri .......wakifika kortini watatajana tu na wenzio waliokuwa wanakula nao maana ni dhahiri hawatakubali kwenda peke yao...msije mkashangaa hata mkuu wa nchi akatajwa.
   
 9. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe umesoma vizuri kichwa cha huu mjadala hapa au unaleta mambo yako ya ubaguzi wa rangi?
   
 10. MyTanzania

  MyTanzania Senior Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee yule ameongea jana mpaka nimelia wadau.Amenikumbusha waathirika wa ukimwi wanavyofuata dawa katika hospitali ambazo ziko katika umbali zaidi wa maili ishirini.
  Amenikumbusha wadogo zangu ambao wanasoma kwenye shule za kata ambazo hazina walimu, maabara, vitabu (kwa maana nyingine wapo kijiweni).
  Amenikumbusha wakina mama wajawazito wanaolala mzungu wa nne huku wengine wakilala chini au kubadilishana vitanda katika hospitali zetu.
  Amenikumbusha matatizo ya barabara na usafiri ambapo chini ya 10% ndizo zina kiwango cha lami.
  Amenikumbusha matatizo ya maji salama ambapo magonjwa typhoid yanagharimu maisha ya watu kila kukicha huku watumishi wizarani wakifanya semina za typhoid zisizoisha na kununua magari ya miradi.
  Tusisahau tulikotoka jamani,hata kama tuna maisha mazuri mijini humu au nje ya nchi kamwe tusisahau tulikotoka. Hata Mwalimu Nyerere aliwahi kuyasema haya katika hotuba yake kwa wanachuo wa mlimani miaka ya nyuma. Aliwafananisha wanaosahau kwao baada ya mafanikio kuwa ni wasaliti.
  Naomba kuwasilisha.

  Amenikumbusha wakina
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAWA SAWA SAWA!  Ila hapa NAKUKATALIA.yeye ni mjasiliamali.hatetei maslahi ya wananchi PER SAY,ila ni mjasilia mali ambaye MAFISADI-PAPA wamemfix.ndo maana anapiga sana kelele.kelele za mengi zimekaa KIBIASHARA ZAIDI.INGAWA YEYE SI FISADI
   
 12. Poetik Justice

  Poetik Justice Member

  #12
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ama kweli cancer ya ufisadi, ulafi, ubinafsi ni sugu. Hao wanayoi-spread ni sawa sawa na virus ambayo bado haijapata tiba. Kwa nini watu kama hao akina Rostam na wengineyo (black, white, yellow) wanaweza ku-flourish?? I think thats the arrogance that Mengi is talking about. We thought the time was up months ago but it appears that bado ipo...
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mimi nashangaa! kila siku mafisadi mafisad, wanatajwa ushahid upo lakini hakuna kinachooendelea. nimechoka sana
   
 14. c

  chabeby Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MENGI AMFUNIKA KIKWETE!
  Wadai wenzangu hasa sisi maskini wa nchi hii tajiri inayoliwa na wajanja mapapa nadhani siku ya jana Mtanzania mwenzetu ameandika Historia mpya katika Tanzania yetu inayozidi kuibiwa kila kukicha.

  Ujasiri aliouonyesha Mzee Mengi niwa pekee maana naamini kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete kaangalia au kusikia alichokifanya mengi kama ni mtu mwenye fikira mgando basi kwa maneno na Majina ya mafisadi aliyoyataja Mengi zimeyeyuka! maana ameonyeshwa njia aliyokuwa anaogopa kuipita.

  Kwa Mtanzania yoyote anayeitakia Tanzanai yetu mema basi atamuunga mkono Mzee Mengi kwani hawa mapapa kina ROSTAM, MANJI, JITUPATEL, SOMAIA na wengine wanazidi kusababisha watanzania wenzetu wazidi kuishi maisha ya TABU, DHIKI, FEDHEHA NA KILA MAHANGAIKO katika nchi hii aidha kwa kukosa dawa mahospitalini, walimu mashuleni, barabara mbovu, mioundo mbinu ya maji na umeme, na kila huduma za msingi wanazotakiwa kuzipata.

  wametuibia vya kujtosha!! hawa!! wametufanya maskini vya kutosha!! wamelinda na serikali ya CCM vya kutosha sasa basi inatosha!! wafikishwe kwenye mikono ya sheria warudishe chetu!!
  Hivi hawa CCM wanavyowakumbatia hawa mafisadi wanataka kutufanyaje haswa sisi wananchi!!? kwani nini watu hawa hawa wawepo kwenye inshu zote zilizoitia hasara serikali halafu bado waendelee kuan galiwa!!?

  Hivi kweli ndo viongozi tulioachiwa na Mwl Nyerere hawa?!! Raisi anashindwa kuyaweka bayana majina ya mafisadi mpaka asaidiwe na Raia huku akiwa tayari alisha jigamba kwamba mafisadi wote anawajua?!! mbona asiwataje?? anatufanyia usaniii?

  watanzania tuinuke mengi kaanza sisi tumalize.
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ukifyetuka mafisadi wote watanasa na kinachozuia kuwanasa ni utawala wa Sultani CCM ,tupigane vita hii kuiondoa CCM madarakani tuone kama picha haitafanana na hii[​IMG]
   
 16. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hicho ndio kinachowachosha wengi, maana ushahidi upo lakini wenye kazi zao wanadai ushahidi haupo. Mengi kauliza, hii jeuri na confidence wanaitoa wapi?

  Na mimi najiuliza, hivi ni kazi ya Mengi au wananchi kufanya hicho alichofanya Mengi kwenye nchi yenye uongozi tuliouchagua? Raisi na serikali yake wanatumia fedha zetu kufanya nini? Kwa nini wako kazini kama lazima wananchi wamshtue usingizini kwamba mafisadi papa ndio hawa na ushahidi wa wizi ndio huu hapa na bado wasiufanyie kazi??

  Something is very wrong here! Mimi najiuliza, hii jeuri na confidence ya serikali yetu kukumbatia mafisadi kiasi hicho wanaitoa wapi?? Ni nani anawapa madaraka hayo?? Wakishapewa basi ndio wamepewa, hivyo wanaweza kufanya watakalo hata kutuangamiza sisi tuliowapa hayo madaraka??
   
 17. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kwanini asianze rostam:confused:
   
 18. S

  Severine Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi kwa maoni yangu wananchi wajichukulie sheria mkononi kama wanavyowachoma vibaka moto kwa wizi wa elfu moja.Hawa jamaa wametufikisha hapa tulipo ni zaidi ya vibaka wanaokwapua vihela vyetu.Hawa watu wakipita mitaani ni kuwarushia mawe wachomwe moto kwa matairi ya magari yao ya kifahari.Ni wezi na serikali (hasa CCM) wanajua hilo.

  Tuungane watanzania tuwateketeze hawa mafisadi
   
 19. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  We want our money and not killing anybody.
   
 20. L

  Lusajo Kyejo Member

  #20
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli Mungu anajibu maombi,Hapana hii jana kali,kweli Mengi ni mtanzania halisi na anauchungu na watanzania na ni kweli tumechoka sasa tunahitaji mabadiliko,haiwezekani lazima watiwe pingu hawa mapapa nchi hii sio maskini ni tajiri sana,ni pale tu haya mapapa yatakuwa yametiwa pingu hayana huruma kabisa na nchi yetu nzuri iliyobarikiwa na kila kitu.
   
Loading...