Recent content by Cephalocauda

  1. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu , baada ya kumaliza masomo yangu nina plan ya kujishugulisha na kilimo hususani kilimo cha matunda yaitwayo MATIKITI MAJI. Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu , anisaidie mbinu za kuendesha kilimo hicho ili kiweze kuwa profitable. Hadi sasa nina mtaji wa laki 5...
  2. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

    Jamani wengine Tupo makazini vipi tuache kuhudumia Watanzania walipa kodi Twende tukacheki hayo maazimio ya kamati kuu
  3. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Joto la mapenzi

    Daa@aaaa
  4. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Duuuuuuu
  5. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Pumbazo

    Mzaramo, umetusahau nduguzo
  6. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Pumbazo

    Mzaramo, umetusahau nduguzo
  7. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

    Kwetu kizimkazi , karibuni
  8. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Ripoti kamili

    Wap mzaramo, long time no see..
  9. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Ripoti kamili

    Wapi mzaramo
  10. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Kuleta vurugu Republican wakimpoka ushindi

    Kama Republicans wamefikia hatua ya kukopi Tz basi kazi ipo
  11. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho

    HADITHI NA SOMO; Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani? ROSE: Nataka kuwa rubani...
  12. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    Nipo jamii forum kwenye hii thread ukawa wanatikisa Kwa kura za mitandaon watashinda, mapema Asubuh
  13. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania UKAWA wakubali yaishe maeneo yenye mgogoro kwenye Majimbo

    Hata jimbon kilombero Hakuna maridhiano hivyo. Chadema na cuf wote wanagombea ubunge . Pia baadh ya kata nazo zna utata kAma huo
  14. Cephalocauda

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni za Maadili Hutakiwi kufanya kampeni siku ya uchaguzi nina wasiwasi ukikutwa unapiga push up siku ya uchaguzi tena iwapo itakua ni karibu na kituo cha kupigia kura ni kama utaonekana unaashiria/unampigia debe/kampeni mgombea fulani Kuwa makini
Back
Top Bottom