Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

Tokea yaanze kutolewa matamko sijawahi ona mabadiliko yoyote labda ngoja nione hili la leo
 
Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo nayo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.

Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie uchambuzi wa vipengele vya kitaalamu vya KYC (know your customer) kabla ya kutoa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa ISIS au ALKAEDA.
Nafikiri wewe uliwahi kuwa na tatizo la uvimbe kwenye ubongo
 
Ni rasmi Mkutano huo hautakuwa Live Badala yake utarekodiwa kwa Ajili ya kurushwa baadae!
 
Tanzania hakuna Upinzani bali blah blah tupu
 
ufipa kila siku matamko hayana mashiko,,,, jaribuni kushirikiana na uncle ..kulko kuja na matamko hewa
 
Jamani wengine Tupo makazini vipi tuache kuhudumia Watanzania walipa kodi Twende tukacheki hayo maazimio ya kamati kuu
 
Mnafiki nani? Anayejinadi kutetea wanyonge huku kuwalinda aasisi wa ufisadi mkuu?
 
Hivyi mbona hao chadema mbona hawajaalikwa huko marekani kwenye mkutano wa demeklasia hao wao sio wana demeklasia
 
Jamani wengine Tupo makazini vipi tuache kuhudumia Watanzania walipa kodi Twende tukacheki hayo maazimio ya kamati kuu
 
Back
Top Bottom