Paka ndio mnyama pekee anaefaidi, na kutumia Mali za mmiliki ipasavyo kuanzia sofa, fridge, na kitanda, wakati upo kazini yeye amekaa home kwenye sofa anachapa usingizi akichoka anaenda kupata joto la fridge,
Ila kusema kweli paka ni msafi na anajipenda kuliko maelezo, ameumbiwa starehe.