Recent content by CDG

  1. C

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    Sikuahidi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    Alipokuwa anaahidi mbele ya media alitegemea nini? Kiufupi Makonda hana completed job zaidi ya kurupukurupu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    Yule mlemavu wa macho aliyetobolewa na scorpion hajajengewa nyumba mpaka leo. Mkumbushe Daudi hili
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ubungo, Dar: Ubomoaji jengo la TANESCO waanza

    You are among the fews continuing letting #JF to be untrusted source of news.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ulishindwa kuendeleza Chato miaka 20 uje uweze kuendeleza Tanzania miaka 5?

    Umewahi kufika Chato na kutuona tuna shida unazotangaza hapa? Never judge a book by its cover. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Kumbe vikamatwe kwa kulinganisha wanayoyafanya CCM! Siingilii ugomvi wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliwasaliti NCCR Mageuzi kabla hata vyama vingi havijaruhusiwa rasmi sembuse leo

    Alaaah ok, hadi kwenye Uwakili siskii kabisaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliwasaliti NCCR Mageuzi kabla hata vyama vingi havijaruhusiwa rasmi sembuse leo

    Hivi Mabere Marando kapotelea wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Vikikamatwa/kupigwa mnada wewe unapata nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijana wanaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2017

    Wazushi sana hawa jamaa. Hawajaweka majina na Website haifunguki. Wametoa muda mfupi wa kuanza kuripoti kambini (25-30/May) utadhani kila mzazi amejiandaa na hawakuzingatia kuhusu taarifa kuwafikia wanafunzi kote nchini (Mazingira)
  11. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Nitakupa ABC kwa biashara unayoiwaza sema waweza kuchanganua na kuamua kuongeza mtaji kwa njia nyingine. MAHITAJI 1. Cheti cha Vipimo toka kwa Daktari anayetambulika na Serikali 2. TFDA certificate cost ~70,000/- 3. Tin number toka TRA na Clearance certificate pia kadirio la kodi si chini ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Malengo, Kama utanipenda, Too much, Muziki na sasa Hasara Roho sijataja za zamani halafu useme anabahatisha!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mtakaofutwa kazi kwa vyeti feki nendeni Mahakamani

    Kujitetea kupitia kesi isiyohusika! Sijui sheria lakini hii haiwezi kusaidia kujitetea kwao. Jambo hili lilihitaji Busara pekee, wenye vyeti vya wenzao hujituma sana. Ningependekeza wapimwe kupitia Utendaji wao si vyeti
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji gani walistahili kutwaa Ballon D'or?

    Del Piero
  15. C

    JamiiForums Tanzania Harmorapa; Juma Nature hajanifanyia poa

    Kuna watu wanalipwa kumtangaza bila shaka. Sielewagi hata anachoimba!
Back
Top Bottom